Recent content by kapalaki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wageuziwa kibao

    Mashoga wengi ni akina Aunt Mudi(Mohammed),Aunt J(Juma) na wengine wengi km hutaki nenda Kwa Mama Chen pale Magomeni near Bondeni Hotel
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wageuziwa kibao

    Umetumwa kulitangaza gazeti au? Maskofu wana vitu vinne ambavyo upande wa pili hawana,1.Busara,2.Hekima ya Mungu,3.Elimu 4.Kuchuja Mambo(Hawakurupuki)!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mch. Gwajima amgomea Makonda

    Inafuatana na nafasi yake katika jamii! Hata anaemhoji ni mtu mwenye cheo! Na katika hili ni zaidi ya yale aliyoyatamka kuna lingine nyuma yake!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Wasiwasi wangu ni harufu ya udini yaweza kujitokeza! Kwani kalazwa na pingu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pengo: Nimesamehe

    Lakini akumbuke kuwa dhambi ya usaliti itamtesa pia so bora atubu pia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima

    Police wanaelekezwa na boss Nyooka na wala sio kosa lao
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wabunge: Mkosamali aomba muongozo wa spika

    Si katiba imemlinda? Haya ndo ya kuyaangalia kwenye katiba ijayo yasijirudie
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shibuda si riziki CHADEMA

    Kwa hiyo alibakwa na kulazimika kujiunga CDM?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

    Kabisa mafisadi kibao yapo kwann yasizushiwe??
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanalo: Sasa hata REA wanaiba? Nini tena walichobaki nacho kuhadaa watu?

    Huwa siusumbui ubongo wangu ninaposikia wajinga wachache wakilisifia kabila lao eti wachaga!! Hawa wana sifa ya ubifsi na umimi na huu ndio wasiwasi wangu juu Chadema japo kinasera nzuri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina dini, pongezi kuondoa mjadala wa mahakama ya kadhi bungeni

    Wamejiandaaje wale waliooa wake wakristo? Maana kuna intermarriage na wao itakuwaje? Ushauri wa bure nadhani muhimu ni wao kuanzisha mahakama hizo misikitini kwao kimya kimya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka Achunguzwe zaidi

    Kutojua sheria sio tiketi ya kufanya makosa ambayo hata asiye profesa hawezi kufanya pumba hizo,Kwann isingelipwa kwenye account ya shule straight? Huyu ni mwizi tu!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania ESCROW scandal: Pinda apata watetezi

    Pinda hajaiba ila amebariki uwizi ufanyike huku akijua wazi kuwa ni kosa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    Ukweli utajulikana saa 11,aliyetolewa kafara ni AG hao wengine muda ufike
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimrod Mkono alishwa sumu, ilikuwa imuue ndani ya masaa 72!

    Walimkosa kosa Mwakyembe sasa wanamwandama Mkono km vile wao hawatakufa,aibu sana
Back
Top Bottom