Maaskofu wageuziwa kibao

Maaskofu wageuziwa kibao

SIMBA NYANI

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
35
Reaction score
25
maaskofu sasa wageuziwa.jpg
:A S confused:
 
ndo unasoma vichwa ya habari vya magazeti! huo muda uliotumia kupiga picha au kuscan hilo gazeti si ungeutumia kuandika hyo habari!
 
Umetumwa kulitangaza gazeti au? Maskofu wana vitu vinne ambavyo upande wa pili hawana,1.Busara,2.Hekima ya Mungu,3.Elimu 4.Kuchuja Mambo(Hawakurupuki)!
 
Mleta mada acha uzezeta watumishi wa Mungu wanaongozwa na roho wa bwana hawakurupuki.
 
Mashoga wengi ni akina Aunt Mudi(Mohammed),Aunt J(Juma) na wengine wengi km hutaki nenda Kwa Mama Chen pale Magomeni near Bondeni Hotel
 
Umetumwa kulitangaza gazeti au? Maskofu wana vitu vinne ambavyo upande wa pili hawana,1.Busara,2.Hekima ya Mungu,3.Elimu 4.Kuchuja Mambo(Hawakurupuki)!

Aliyepost bado anajifunza namna nzuri ya kuwasilisha habari.
 
tatizo la maaskofu wengi ni maaskofu uchwara kazi ya kuvunja ndoa za watu
 
Mashoga wengi ni akina Aunt Mudi(Mohammed),Aunt J(Juma) na wengine wengi km hutaki nenda Kwa Mama Chen pale Magomeni near Bondeni Hotel

Punguza matope,hujui kama hayo ni majina
ya bandia. Mliokuja na fuso la viazi mnaulewa mdogo sana
 
unajua majina yao kamil?hata ww naamin ukivyokua mtoto walikutembelea ni suala la muda tu na ww utakua anti juma
 
Mashoga wengi ni akina Aunt Mudi(Mohammed),Aunt J(Juma) na wengine wengi km hutaki nenda Kwa Mama Chen pale Magomeni near Bondeni Hotel

Pamoja na majina hayo ulishasikia kuna shoga kafungishwa ndoa na sheikh au msikitini kumefungishwa? Uaskofu na upadri na ushoga ndio kwenyewe, ushoga juu ya ushoga
 
Punguza matope,hujui kama hayo ni majina
ya bandia. Mliokuja na fuso la viazi mnaulewa mdogo sana

mkuu walichofanyiwa hawa ndugu zetu utoton athari zake tunaziona sas iv,maaskofu hatari sana hasa hawa waliosoma seminar
 
Back
Top Bottom