Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

Status
Not open for further replies.
BABU PETER KAYANZA MIZENGO PINDA
majina yote manne yana dhihirisha hatua unayotaka kuchukua .pita_yaan aondoke apite_kayanza...yaan ndokayanza mapito.mizengo_mambo yame mwendea mazengo. yaan kiatu cha kulia kavaa kushoto kushoto kavaa kulia.PINDA yaan hapo ndo mambo yamepinda vibaya.

hahahahahahahah
 
Awamu hii hatuitaji kujiudhuru pekee ni lazima na hatua za kisheria zichukuliwe ikishindikana wananchi tuhamsishane ili tuwahukumu hawa wezi na ikiwezekana WAPIGWE TU.

kweli mkuu watz tumekuwa waoga, wanyonge kupitiliza, tungefanya km bukinafaso kidogo heshima ije mjini
 
tunataka hela zetu, fidia za usumbufu tulioupata wa kutafuta haki yetu, fidia ya shughuli zote zilizikwama kutokana na wizi wa fedha na zaidi ya yote tusiwaone uraiani na polisi wangefanya vyema kuwasubiri nje ya lango la bunge kuanzia saa kumi na moja, mtu anaedaiwa asirudi kwake leo.
 
Ni jambo jema...Tena atakuwa amechelewa sana,,,,

Ila ingekuwa vizuri zaidi kama JK angeachia ngazi...
 
Tunataka watuambue hizi pesa walizoiba zitarudishwa saa ngapi sio mambo ya kujiulu hatutaki.
 
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune

Kama kweli akijiuzuru, adhabu zifuatazo zimsindikize:
1: Arudishe fedha alizomegewa
2: Achapwe viboko hadharani
3: Afilisiwe malizake zote pamoja na Nyuki na Mizabibu
4: Afungwe kifungo cha nyumbani kwake Katavi maisha yake yote, Dhaifu huyu!! Paralawyer Pinda
 
Taarifa zilizonifikia japo sijazibitisha ni kwamba waziri mkuu pinda amekubali yaishe kwenye kikao cha uongozi bungeni kilichodumu kwa zaidi ya masaa matatu. Stay tune

Apigwe tu!! Alidhani yeye ni Mungu wa Tanzania? Malipo ni hapahapa. Aagize tupigwe mabomu akiwa Mpanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom