Recent content by kanyika

  1. K

    GE2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    Huko Kasulu Kamanda wa TAKUKURU amehamishwa na kutelemshu cheo Vipi? Tabora atafukuzwa kazi kamanda Mkuu
  2. K

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Mambo hayo unaona Spain kamchapa Germany - Mambo a Pwaza
  3. K

    Jaji mkuu akamilisha jengo la mahakama kwa fedha alizotengewa yeye!

    Hawa ndiyo viongozi tunawataka katika nchi hii na siyo kufikiri maslahi yako binafsi, kukaa kwenye hekalu wakati ndugu yako hata hela ya kula hana
  4. K

    Picha Zisizo Za Kawaida No.7: Wanawake Bana: Eti Latest Fashion Ya 2009 . . .

    Mwisho wa siku watatembea bila nguo na chupi
  5. K

    Tanzania Ina Nini cha Kujivunia?

    Bongo ina vitu vingi vya kujivunia Amani, Mlima mrefu Africa, Serengeti nk
  6. K

    Nataka watoto wangu atumie jina la mama yao

    Wewe Bujibuji ni hatari sana, watoto hutumia majina ya baba zao ili kuonyesha wao ndiyo walitoa hiyo sperm, kwa mama hiyo inaeleweka kwani alibemba mimba hiyo. Huo ndiyo utamaduni ili mwanaume apate heshima. Kama huna hakika wewe ndiye baba wa mtoto basi atumie jina la mama
  7. K

    White House: State dinner crashers met Obama

    Hiyo inaonyesha how difficult security issue - hata white house kuna gate crasher, huyo ameweka history
  8. K

    Ukiajiriwa na mimba changa sheria ya kazi inasemaje jamani??

    Bila shaka uko under probation sema ya miezi 6, wakati wa usaili mwajili wako hukumwambia ukweli kama una mimba, kumbuka wakati huu mwajili wako anakupima kama unafahamu kazi yako vizuri na tabia yako ni nzuri. Kwa kitendo chako cha kusema una mimba inaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye siyo wa...
  9. K

    Touch phone

    Kuna jamaa alitangaza ataleta simu Touch phone na vitu vingine, kapotelea wapi, give us your contact please
  10. K

    Ukiajiriwa na mimba changa sheria ya kazi inasemaje jamani??

    Sheria ya kazi iko wazi sana, bila shaka utakuwa under probation my be 6month, katika muda huo mwajili wako anakuangalia utendaji wako wa kazi na tabia, kwa kutomwambia una mimba wakati wa usaili wako na kuweza kufikiri wewe si mkweli wa tabia. Katika Labour law kunakitu kinaitwa unfair...
  11. K

    Mlimani City: Useless

    Unafahamu ZADOCK alikuwa na bomba linatoa maji mengi sasa hilo bomba limefungwa na mwenye funguo hataki maji yake yapotee bure. Bongo investments Dar village. mlimani city bado ni bomba
  12. K

    Je unahitaji Digital camera,touch phone au laptop kutoka EU MARKET?

    Nina hitaji i-phone(touch) na has apple unapatikanaje?
  13. K

    Introduction

    Hi! wana JamiiForum Wasalaam, ninayo furaha kubwa kuungana nanyi katika hili libeneke la kupatiana habari nini mwenzenu Kanyika
  14. K

    Introduction

    Wasalaam wana JamiiForums, Mimi naitwa Kanyika ninafuraha kubwa kujumuika nayi katika kuliendeleza hili libeneke. Nitajifunza kutoka kwenu nanyi mtapata chochote kutoka kwangu
Back
Top Bottom