Nataka watoto wangu atumie jina la mama yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka watoto wangu atumie jina la mama yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Nov 25, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Wasalaam,
  kwa heshima na taadhima nakuja mbele zenu kuyawakilisha yale machache yalioujaa moyo wangu.
  Kutoka katikati ama kwenye shina la moyo wangu,
  natabngaza rasmi watoto wangu wote hawata tumia jina la ukoo wangu, ila watatumia jina la ukoo wa mama yao ambaye ni mke wangu.
  Nimeamua kufanya hivyo kwa kuwa mama yao ndio anauhakika wa dhati wa baba wa mtoto.
  Sina haja ya kufanya d.n.a test, na ninamuamini sana mama watoto wangu.
  Ila si unajua tena kama unadhani nyie wanaume mna mambinu basi wanawake wana mitego
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mzee yani kabla hata hujapata mtoto ushaanza kuogopa?? Halafu unajicontradict mwenyewe maana unasema "unamwamini Mkeo" hapo hapo unasema yeye ndo anajua watoto ni wa nani!!
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Huyu anataka kutuchekesha. Ila si mbaya kama ameridhia toka moyoni ni nzuri zaidi.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Bujibuji,

  Hii mambo ipo kama kawaida kabisa.

  Koo nyingi za Morogoro zinatumia ukoo wa mama kwa imani hiyohiyo kwamba mama ndo mwenye kujua uhalisia wa baba mzazi wa mtoto.

  Ni uamuzi mzuri...Ila kama ndivyo, acha kuamwamini huyu bibie mara moja!
   
 5. U

  Upanga Senior Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Siyo mbaya sana lakini kwa desturi watoto walitakiwa wawe na jina la ukoo wako!!
  Kinachokupelekea kuwapa jina la ukoo wa mama yao ni wewe mwenyewe unakifahamu kwa hiyo mi naona sawaaaaaaa!!!!!tuuuu.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Breaking news hii nayo! LOL
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Kweli hii habari imevunjika!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Toa thanks kaka mficha uchi hazai hahahahahaah
   
 9. bht

  bht JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  wa zenji vipi hii ataikubali ukoo wake ndo saa nem ya watoto wenu???
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mkuu unaniongezea mapinduzi sasa, Kidume Nguli nina mpango wa kuvisha engagement ring na tukipata watoto wote ma ir men ya kwetu!!!
   
 11. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 12. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sasa hutaki DNA test pili unamuamini tunakusaidiaje? DNA is the only solution to know the child is yours period
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  mambo ya majina kasheshe Maalimu!
   
 14. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  hiyo imetulia hata mimi nakupongeza ingwa wangu watatumia ukoo wangu nitakao uanzisha
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  safi sana.
   
 16. k

  kanyika Member

  #16
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Bujibuji ni hatari sana, watoto hutumia majina ya baba zao ili kuonyesha wao ndiyo walitoa hiyo sperm, kwa mama hiyo inaeleweka kwani alibemba mimba hiyo. Huo ndiyo utamaduni ili mwanaume apate heshima.

  Kama huna hakika wewe ndiye baba wa mtoto basi atumie jina la mama
   
Loading...