Recent content by kanyenyekwetu

  1. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania DSTV wanakera kwa kuibia wateja

    Hii inafanya nn huku jukwaa la siasa?
  2. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BCA0AED betpawa kila la heri..!
  3. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    Sijawahi kuona hata post moja kutoka kwako ikisifia chochote cha MAMA nadhani wewe chuki na roho mbaya vinakutesa sana. Pole sana..!
  4. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Uume unasimama lege lege sio kama mwanzo

    Aisee..
  5. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Uume unasimama lege lege sio kama mwanzo

    Huna ugonjwa wowote ni hofu tu imekujaa wakati wa kulifanya hilo tendo, suala lako ni la kisaikolojia zaidi hivyo yakupasa kwanza jenga uhusiano wa urafiki ili umzoee huyo mwanamke wako itakusaidia kujiamini na kuondoa hofu na kukupa majibu chanya..fanya hivyo mdogo wangu.!
  6. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kwema? Kama inaswihi nitumie..
  7. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Nimelala katikati ya lami nisikanyagwe na semi. Ningekuwa chapati

    Alkasusu mujarab a.k.a chai ya jioni...:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  8. kanyenyekwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majibu ya mke wangu haya hapa

    Ushauri wangu muache huyo mke hakufai... Nadhani huu ndio ushauri unaoutaka.,.ndoa za utotoni tabu tupu!!
  9. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Asante sana mkuu kwa kuja na kielelezo tosha, nadhani umeona hii toto ilivosimama... TBC Aridhio siwezi kuikosa aisee..!!
  10. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Sawa sikatai, ila wanazo habari nyingi zaidi ya hiyo ya viwatilifu mkuu
  11. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Anaukosha moyo wangu tu...hakuna zaidi ya hapo bro :D:D
  12. kanyenyekwetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amebakiza mwezi mmoja kuishi kutokana na uraibu wa sigara na pombe kali iliyosababisha saratani ya mapafu

    Nimetumbukia humo na kwa sasa napambana kutoka...sema pombe nimefanikiwa kuacha naweza sema Ivo kwani Nina miezi 7 sijagusa pombe yoyote ile..tatizo fegi aisee kwa siku nilikuwa navuta sigara nusu pakti ila kwa sasa nimepunguza kwa siku navuta 2-3 natamani kuacha ila kiu ya sigara jamani...
  13. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa sheria ya kunyongwa hadi kufa haitekelezwi, kwanini isifutwe?

    Ngoja wajuzi was haya Mambo waje ..
  14. kanyenyekwetu

    JamiiForums Tanzania Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    Sema wakuu ITV inakupa coverage ya kutosha kwa taarifa ya habari ya saa 2 usiku, yaani Wana habari nyingi za kitaifa...Japo UTV wao habari zao Ni chache za muhimu na wanazichambua kwa kina...
Back
Top Bottom