Recent content by kanyembwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

    Mimi sio mwanasiasa sipendi siasa pia ila Kama mwananchi raia wa Tanzania niseme ukweli kuwa huyu Mdude wa Chadema, amenikera Sana tena Sana kwa maneno machafu Sana kwa Rais wetu Mama Samia Suluhu hasani, mama amekuwa muungwana Sana katika muda huu mfupi alokuwa Rais, Nakushauri Mdude na Chadema...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya uliofanyika Juni 2021 umeshusha hadhi ya nafasi hiyo

    Wasanii nao ni watanzania, wapewe nafasi waonyeshe vipaji vyao mbona Jokate ameweza, tuwe wavumilivu tumor mama nafasi afanye kazi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mapazia 6 yanauzwa, yote TZS 100,000/=

    Bado yapo? Nayahitaj
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

    Kesho tarehe Moja sikukuu ya wajinga
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baadae ya Simba Super Cup, nimegundua Watanzania tuko Inferior sana

    Baadae ya mechi kumalizika niliona wachezaji wa kigeni wa Simba wakikumbatiana na wachezaji wa To Mazembe, wakiongea na kubadilishana mawazo. Ila kiukweli sikumuona Kokolanya, Duchu, Shabalala, Sheva, Mzamiru, hata Migomba wakisalimiana na wageni, so wangrenda hata kuchati na ulimwengu, au...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

    Inawezekana no swala la muda, Ila mi Simba damu, huyu bora ha Yippe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali ya Tanzania kuhusu namna bora ya kuongeza ufanisi wa utoaji huduma muhimu kwa wananchi kupitia mashirika yake mbalimbali

    Umenena vyema Sana, Mimi nilishuhudia pia uzalishaji na usambazaji umeme katika kijjij Cha Bomangombe wilayani Kilolo mkoa wa Iringa kazi iliyofanywa na kampuni ya Cefa nadhani, watu walipata umeme kwa Bei poua Sana na hata TANESCO walivyofika bado baadhi wameendelea na huduma ya Cefa, nadhani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali ya Tanzania kuhusu namna bora ya kuongeza ufanisi wa utoaji huduma muhimu kwa wananchi kupitia mashirika yake mbalimbali

    Nimefikiri Sana kuhusu nanna bora ya kuongeza ufanisi wa utoaji huduma muhimu kwa wananchi kupitia mashirika mbalimbali ya Serikali. Lengo hasa na kuondoa ukiritimba unaonekana katika mashirika hayo. Leo niongelee kuhusu huduma ya umeme, maji, na hifadhi ya jamii 1. UMEME Tumeshuhudia juhudi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Mimi naamini Sana katika kujitegemea, nawaambia ukweli tu kuwa Watanzania tuna uwezo was kujitegemea, Rais ameonyrsha njia, tuchape kaxi, Magufuli Go, go, wananchi wengi tupo nyuma yako, Hawa mabeberu hawana jemakwaTz yetu
  10. K

    JamiiForums Tanzania TFF yazindua jezi mpya za Taifa Stars

    Hivi mi najiuliza Tff haeana designer wazuri wa Jezi, hizi Jezi hapana, ni mbaya sana, bora Rangi nyeupe kwa T shirt Na bukta nyeusi zingependeza zaidi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jezi au atlas?

    Atlas Utopolo football club, baada ya kushindwa kushiriki kombe la Club binhwa Afrika, wameamua kujifariji,kwa angalau kapicha ktk Jezi, tuwaache waendelee kujifariji
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    IPO Mkoa gani, tuanzie hapo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

    Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
  14. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

    Aisee, nilikuwa napenda sana kuangalia Na kusikiliza nyimbo zake, in gwiji hasa, Mwenyezi Mungu amrehemu, Nazi yake amemaliza
Back
Top Bottom