Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

kanyembwe

Member
Apr 17, 2017
94
222
Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
 
Ningependa kujua maana ya hilo jina Ihefu na historia ya hii club. Itapendeza sn sn
 
Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
Mkuu siungetulia ili uandike kitu kinachoeleweka?
 
Back
Top Bottom