Recent content by kantalambazi

  1. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama: Chamwino Ikulu, Dodoma

    Halo
  2. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufikiria ama kujaribu kujiua

    Hapana
  3. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim inatarajia kupiga mnada hoteli ya kifahari ya Slim Slim pamoja na samani za kumbi

    Pole yake lkn angefanya utafiti wa kutosha.
  4. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kwamba Nape Nnauye anaumwa na anahitaji msaada wa daktari

    Akisubiri mpaka atoswe ataambulia manyoya tu bora ungemshauri asepe Sasa hivi manake mda huo atakua time barred already.Dynamics hazitamruhusu kupata u MP.
  5. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Weka takwimu kuthibitisha madai yako.
  6. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Wanakula kwa kufanya kazi na si kwa kushinda kutwa kwenye mikutano ya hadhara.
  7. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Umenukuu kwa maana ipi wakati umeni quote km wewe siyo kishoiya wa kiwango cha lami?
  8. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    Ukisema hayupo ukamkuta yupo ndipo utakapokojolea chupi.
  9. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Nimedukua Mawasiliano ya Mke wangu- Weka Mbali na watoto!

    Ukome kufanya udukuzi
  10. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aambiwe kuwa ndege, madaraja, reli za umeme sio vipaumbele vyetu

    Jiongeze, acha kulialia humu JF
  11. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Wewe msahalifu sana, kwani uhaba wa madawa umeanza awamu hii, mbona hata kabla uhaba uliokuwepo tu?
  12. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Anayefikiria kua kuna watu hufikiria kwa kutumia makalio yeye ndiye akili zake ziko kwenye makalio na hufikiria kutumia makalio yake.Wewe ni mmoja wao kwa uliyoandika hapo juu.
  13. kantalambazi

    JamiiForums Tanzania Hongera Kubenea kwa kupotezea uzinduzi wa hosteli za UDSM

    Usijidanganye
Back
Top Bottom