Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hakika threads za kuwataka Makamanda wa Chadema kina Mbowe , Lowassa Na Sumaye Wajiuzulu zimeongezeka .Sielewi Kwa nini CCM inataka wajiuzulu.Binafsi najua ni Woga wa CCM Kwa Viongozi hao.Kuthibitisha hilo CCM imediriki kuzuia mikutano ya vyama vya siasa lakini CCM inafanya mikutano ya Hadhara.Maendeleo ya Nchi hii yamepatikana huku Chama/Vyama vikifanya mikutano ya hadhara lakini awamu hii inayowata kina Mbowe, Lowassa Na Sumaye waache Siasa inadai eti maendeleo hayapatikani kama kuna mikutano ya Vyama kumbe ni kuuogopa Upinzani.