MH Rais awali ya yote nimshukuru Mungu kwa afya na uzima ametupa. PIA nimshukuru kwakutupa kiongozi mwenye uzalendo wa kweli kwa taifa lake. Kiukweli Tz tumebarikiwa.
Kiukwli siku zakaribuni nimejeuka nakuwa mfuwasi wa watu wanakupinga na kukuona kama huna upendo kwa watu na kama Rais anafanya maamuzi pasipo tafakari. Kiukweli nilitoka njia kuu nakuanza kuandika maneno ambayo wanao nijuwa walishanga. Issue ya Nnape ilinifanya nikawasina furaha na wewe mh Rais na vile tena unambeba Makonda aka bashinde ndio nilikwazika sana.
Kiukweli sikujuwa wewe ni Rais makini nakila jambo unalifanyia kazi kwa utashi wa ajabu sana. Ulipo mtumbuwa Nnape nilifikiri umememuonea kumbe siri ni nzito nyuma ya pazia hapa siwezi kusema. Napale ulimlinda Bashite sikuwa nakuelewa kumbe pia nyuma ya pazia yapo mazito yanafanyika na idara zako za kiusalama napale ulitumbuwa viongoz nikaona hujawatendea haki kumbe kile sikijuwi ndicho wmekifanya nakwakuwa huwezi kututangazia siri zao nijukumu letu kukuamini nakukuombea.
Kiukweli nimerudi nyuma sitoandika post kukukejeli amakukukosoa labada kushauri nawala sio lazima uchukue ushauri wangu. Nimekuamini kwa roho yangu yote maana nimejuwa kunakundi linakuhujumu na binafSi siwezi shiriki kukuhujumu Rais wangu mpendwa. Kiukweli pesa haipo ila ipo haja kutembea vifuwa mbele maana taifa limepata dereva mwenye ujuzi waajabu sana. Najuwa unapita mambo magumu sana ila nataka kukuambia kama vile Mungu alimwambia Musa " Songa mbele maana hawa unao waona sasa hutowaona tena"
LEO SAUTI ILE ILE YA MUNGU INASEMA NAWEWE SONGA MBELE MAANA HAWA UNAWAONA SASA HUTOWAONA TENA.
Taifa letu linasafari ndefu yakwenda majitu majinga kutuaminisha wewe sio nikupoteza Muda. Kiukweli namuomba Mungu ktk utawala wako mimi nifanikiwe na hata utakapo maliza muda wako nikumbuke kile ninacho nilikipata wakati wa uongozi wako hili linawezekana na kwakuwa nilipiga kelele za Magufuli kabla ya kuwa Rais ninaimani Mungu atanibariki mm na familia yangu. Badala yakulaumu na kukosoa kama akina Bashe mm nabariki nakukutia moyo ktk safari yako.
Niwie radhi ikiwa nilipost jambo lilikukwaza wew na serikali yako narudia tena kuwa Rais mwema wa taifa langu na wewe Raiswangu.
Mungu ibariki Tz na watuwake na viongoz wake.