Uaminifukazi ongea vizuri na NJAA yako; kwa faida yako tu UK wa 22-23 wa Katiba inayopendekezwa Oktoba, 2014 na nukuu " Kanuni za uongozi wa umma 29-(1) Kiongozi wa umma, akiwa katika kazi za ofisi au kazi binafsi au wakati amejumuika na watu wengine, atahakikisha kwamba mwenendo wake: (a)...
Acha kubishana na wachumia tumbo, unajua mtu akikosa dira anatafuta pakufia wameshakufa hao bado kuzikwa tu Oktoba 2015 ....................:rockon::rockon:
Wakijita: unajua CCM wanajua kuwatumia hawa watu nadhani unamfahamu vizuri tu MM naibu Wizara ya fedha amekwisha mtafuna huyu sasa anatafuta kiki ya kuonyesha nae yupo
Kamuondoe kwanza Samwel Sitta anamiaka zaidi ya 30 jimbo lake lipo taabani hakuna maendeleo yoyote ukimaliza hapo nenda kwa Kapuya alafu malizia kwa Nkumba ndiyo urudi hapa kutuaminisha ushenzi wako
Kaka usijisumbue hakuna gamba lolote lile ambalo litajitokeza na kukupatia matokeo ya Mtwara-Mikindani, kipigo kinauma tena kama mtu kampiga mkeo mbele yako
Hivi wale waliokuwa wanamshambulia Mh Kafulila kuwa ni muongo na kudiliki kumuita TUMBILI na kudai kuwa fedha sio za umma wapo wapi? au njaa imewabana wamerudi mtaa wa Lumumba kwenda kudai posho ya kazi waliokuwa wanaifanya kama ya jiwe mtoni kuzuia maji wakati haiwezekani.....:msela:
Huna lolote lile la maana;ni mkakati wa magamba kudhoofisha UKAWA tumewazoea nadhani umepewa kazi toka mtaaa wa Lumumba na bahashishi uliopewa ni wali au t-shirt bila viatu na suruali...:msela:umoja huu unawatisha sana naona mwaka huu mmeamua kuushambulia UKAWA baada ya kuishiwa maneno kwa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.