ngumi tofari
Member
- Oct 8, 2014
- 32
- 6
Tafadhali tusaidane hapa mkuu: pamoja na uelewa wangu mdogo, je hiyo nguvu yoote iliyotumika tangu kuanza kujengwa kwa hoja hii na maneno makali na mazito yanayorushwa humo Bungeni na kwenye vyombo vya habari, hadi leo inaitwa "sakata", "kashfa", na mengine mengi yaani hakuna dalili za upotevu wa fedha?
Sikupi jibu ila nakusihi subiri ripoti isomwe tarehe 26/11, nakuomba hakikisha kuwa unasikilza na kuangalia siku hiyo maana ndio mzizi wa fitina unakatwa. Fedha ya escrow ni mali ya IPTL.