mzirayissa
Member
- May 2, 2014
- 11
- 2
Yetu macho
Du kweli hatari hiii....
......Jamaa alienda Karatu akapewa uchifu kumbe wairaqw wanamchora tu kama zuzu kilichotokea !!!
Na atakuwa kweli.Jamaa anajiandaa kuwa Rais wa Tz mwakani...
wewe huku UKAWA hatukutaki, hata wewe ni ccm, nyumbu wewe.Kumbe Wanaijua Nyota ya Dr. Slaa ndio maana hawalali kupandikiza Masalai, tunguli nk?
Nawaakikishia, Mwigulu Nchemba atakufa yeye Akifanya URODA kabla ya CHADEMA. Chadema ni movement ya Watanzania millioni 44. Kwa hiyo ili CHADEMA kife, ni bora awaue watanzania hao wanaoishabikia CHADEMA. Mbona akili zao zinawaza CHADEMA tu na sio mke wao wa Ndoa CUF?
Walau leo nimpongeze Mwigulu Nchemba kwa kusema Ukweli wa moyoni kwamba Nyota ya Dr Slaa inang'aa.Hayo mengine ni Porojo tu zake za kawaida.
c.c Mwita Maranya SEBM Crashwise Shardcole Mungi.