kuna wengine wanakaa mbali na upande wa daraja hata akishavuka so short cut kwake ni daraja bt nashangaa kwani hali bd ni.mbaya ya foleni licha ya kivuko cha tatu kuongezeka ntauliza wadau tujue km vyote vinafanya kazi isije kuwa keep moja kibovu!!!
na kuna thread niliisoma konoike wanadai sijui nini......nchi hiiii kwa.hasara ya stahili hz tumepigwa sana inanikumbusha sakata la dowans nadhani tunalipa bt ndo mana wengine tishajichikea na ccm...kitamboooo kwa sabubu mwishi wa siku ukichunguza sakata ni watu wao ndio sio waaminifu thus watu...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kumbe miguna ni play boy wa politics so kinachomkuta sasa ni kupinga kukutana na raila na uhuru thus thanx kwa historic back ground yake
hilo fundisho kwa ss wengine huna uwezo beba hata machungwa ya buku pita ukweni kamsalimie mtt hata km kuna dharau unafanyiwa bt mtt atajua tuu mm daddy yupo hata km watamjaza sumu mwisho wa siku uwongo hujitenga na ukweli bt naamini kabisa kwa mama zeru wa.uswazi ukimpa book tano mbili hawanaga...
kipimo kipo tatizo kuchelewa drs wanasema kuwa ukikaribia au kufikisha miaka hamsini hv kila mwaka pima mara moja ni cha kisasa zaidi sy zile story z vijiweni kupimwa kwa kuingizwa vidole matakoni hilo halipo nenda muhimmbili na ukipenda hata baada ya kufikisha miaka 40 jenga mazoeya ya kupima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.