Recent content by Kanjulai

  1. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Tungepenya jana ubingwa ungekuwa Wetu ila Siasa za vyama vya upinzani zimetufelisha!

    Mwalimu wangu wa history form four kwenye topic ya nationalism alitwambia colonialist planted seeds for their own destruction, kumeshaanza kuchangamka.
  2. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli kuhusu Kigoma!?

    Kinachosumbua Afrika ni mipaka ya kikoloni, baada ya kuanza kujitambua kuna baadhi ya maeneo unaona yapo upande flani kisanii sanii. Mikoa mingi ya mipakani ni utata sana.
  3. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Nini kimejiri Leo kati ya TRUMP NA MWAMBA PUTIN?

    Ebu angalia BBC hapo, naona wako live sema cha mzungu ndio kikwazo
  4. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Mjiolojia Nsajigwa Maclean: Tukitumia Nishati Safi Ya Kupikia Tutaokoa Hekta 400,000 Za Misitu Zinazoteketea Kwa Mwaka

    Yaani kama bei za gas zitabaki kuwa hivi hivi lazima niwe na jiko la nje
  5. Kanjulai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

    Mmhh mbona kama dela, haikutakiwa kufanana kama suti
  6. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: MKEKA WA CCM, Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini

    Hiyo namba tano kama haukusoma civics huwezi kuelewa
  7. Kanjulai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kumsamehe mke wangu, ilikuwa kidogo tu nipoteze maisha. Naombeni ushauri

    Ukiachana ni aina gani ya chai, huwezi omba ushauri kwa tukio kama hilo. Unataka wakuzike ndio ije tena kuomba ushauri mkuu
  8. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kujifunza pikipiki siku moja ya kesho ili Jumatatu nianze nayo harakati Kariakoo?

    Usilogwe, na ukilogwa hakikisha unavaa helmet mda wote. Mimi nina hushuhuda Arusha hiyo
  9. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

    Mimi najua huwa inatumika na watoa harufu chafu. Kule boarding ilikuwa inaitwa unyunyu dawa ya paspoti
  10. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Since the guns of the kinatawala War fell silent on 17 July 2025, tens of thousands of Silent troops have remained in that Island to cast a wary eye

    Kwani nini kinaendelea kwenye hii nchi, week sasa watu ni mafumbomafumbo tu. Slow learners hatuelewi kipindi
  11. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

    Ujinga wa hovyo kabisa
  12. Kanjulai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

    Anza kwanza kutuambia wewe ulianzaje
  13. Kanjulai

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Sawa sawa, tumesoma kwa umakini kabisa. Swala la kuelewa sio lazima kwa wote
Back
Top Bottom