Hivi hii ni kweli kuhusu Kigoma!?

Hivi hii ni kweli kuhusu Kigoma!?

Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Watakuwa wamepotoka maana ukweli ni kwamba Burundi ni sehemu ya iliyokuwa Tanganyika.
 
Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.

Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.

Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Historia ya huko nyuma hakukuwa na nchi kama zilivyo leo.

Mipaka iliwekwa Ujerman baada ya Berlin conference, na makoloni machache yakabadilika baada ya Vita za dunia.

Tangu tawala za Machief, watawala huwa na TAMAA za kukuza HIMAYA zao kwa kuvamia ardhi na kujitanua.

Unasema kuhusu Warundi kuongea, lakini Iddi Amin alisema Kagera iko Uganda mpaka tukaenda vitani.

Kenya wanasema Mlima Kilimanjaro ni wa kwao.

Kamuzu Banda wa Malawi alisema siyo zowa Nyasa pekee, maeneo yote ya Mbeya, Njombe na Songea ni sehemu ya MALAWI.

Hizo nchi zote zingekuwa na UWEZO zingekuvamia.

Ndio maana binafsi, naona masiasa ya CCM ya kutoheshimu kura za wananchi yanahatarisha usalama wa nchi.

View: https://youtu.be/ICFmDTaKIws?si=beqKar2A8NbtxRTe
 
Hizo kelele wanazipigia wapi mkuu?
Maana warundi wanaona Tanzania kama sisi tunavyoiona Europe, America etc
Mie nimetembea sana mkuu hata Kigoma nimefika.
Wapo warundi ambao Wana uraia wa Kigoma na wanadai Kigoma ni Burundi.
Pia sio tu hao,mitandaoni hilo linasemwa sana na wanadai hivyo.
 
Aisee hata kama hizo Burundi na Rwanda ni zetu Tanzania ila hata tusizidai.
Hawa wahutu na watutsi ni watu poisonic sana. Wana tribalism ya hali ya juu.
Pia hapo Kigoma Tanzania iwe makini sana na hao wanaovuka mipaka.
Sio kwa hizi kelele wanazopiga kudai Kigoma ni yao.
Wengine wapo TZ na wanajinasibu warundi ndani ya ardhi ya urundi iliyoibiwa na TZ.
Umeandika point nzuri na ndio ukweli, ila nchi yetu iache kujiita wakarimu huo ni ulofa,mnyarwanda ni sumu siyo wa kucheka naye. Nimeona pale Morogoro kuna watu wanaitwa Ndikumana, wamekujakujaje nchini mwetu? Na wameajiriwa serikalini. Na ndio hawa hawana uzalendo kila siku wanaitukana nchi yetu mara waiite Tanzagiza km huyu aliyeleta hii post, huyo ni mrundi huhitaji kufanya uchunguzi. Kwanini hatuna wivu na uchungu na nchi yetu? Tanzania is a great nation we need to jealousy and proud of it, viwilaya km Rwanda na Burundi ni vya kuvidharau tu na wakiingia nchini mwetu washughulikiwe bila huruma na wajutie kuingia nchini mwetu ili wasirudie ndio hao jana Taifa Stars imefungwa wao wanashangilia. Mtu anaitaje nchi km Tanzania Tanzagiza? Huyo ni raia kweli? Mi nimetembelea nchi Kadhaa za Africa na Ulaya jinsi unavyochukukiwa ni kwamba hapa duniani una sehemu moja tu utaheshimika na kuonekana binadamu ni nchini mwako.
 
Mtoa mada? Yapi ni maoni yako? Je unahoji upate majibu au unawasilisha maoni ya warundi kwa jamuhuri ya muungano wa Tanzania? Lengo tujifunze na sio tujifunge kwa muktadha wa Hoja yako kwa maoni ya mchanganyiko wa watu wanao husika na wasio husika!
Mie nina malengo mawili makuu.
1. Kwanza kupata ukweli wa hii fununu.
2. Pili kujulisha Tanzania kuwa uhalisia wa amani yetu huwenda upo hatarini kwa kuwepo kwa watu wa namna hii. Maana Kila leo ideology yao inakua ni sawa na ile ya Kivu huko DRC. Isije ikawa tunalea waasi wa baadae ama m23 wa baadae.
 
Heshima mwulize mamako aliyekuzaa, we bwege mburukenge usirudie kutuletea vinyesi humu
Mkuu,

Ile siku itakuwa ulipigwa ban ya muda mfupi sana baada ya kutoa hizi lugha za maudhi,kejeli na matusi.

Una ulemavu wa akili? Kwa nini hubadiliki?

Moderator ,watu wa aina hii dawa siyo ban maana baada ya ban wanarudi na speed ileile. Hawa ni WA kukaa nao pm na kuwafanyia counseling ya akili.

Kuna kitu hakipo sawa kwa huyu member.
 
Watakuwa wamepotoka maana ukweli ni kwamba Burundi ni sehemu ya iliyokuwa Tanganyika.
Basi tunatakiwa tuwarudishe kwenye utimamu wao.
Wasije wakaendeleza hizi ideology na zikakita mizizi hilo eneo.
 
Mkuu,

Ule siku itakuwa ulipigwa ban ya muda mfupi sana baada ya kutoa hizi lugha za maudhi,kejeli na matusi.

Una ulemavu wa akili? Kwa nini hubadiliki?
Humu ndani watu wote wanajadiliana kwa staha ila tizama yeye sasa.
 
Humu ndani watu wote wanajadiliana kwa staha ila tizama yeye sasa.
Huyu atashughulikiwa.

Mimi naona ana tatizo kubwa zaidi ya hili. Hii ndiyo namna yake ya kujadili karibia Kila Uzi,Wala hashangazi kuona anatukana hovyo.
 
A
Historia ya huko nyuma hakukuwa na nchi kama zilivyo leo.

Mipaka iliwekwa Ujerman baada ya Berlin conference, na makoloni machache yakabadilika baada ya Vita za dunia.

Tangu tawala za Machief, watawala huwa na TAMAA za kukuza HIMAYA zao kwa kuvamia ardhi na kujitanua.

Unasema kuhusu Warundi kuongea, lakini Iddi Amin alisema Kagera iko Uganda mpaka tukaenda vitani.

Kenya wanasema Mlima Kilimanjaro ni wa kwao.

Kamuzu Banda wa Malawi alisema siyo zowa Nyasa pekee, maeneo yote ya Mbeya, Njombe na Songea ni sehemu ya MALAWI.

Hizo nchi zote zingekuwa na UWEZO zingekuvamia.

Ndio maana binafsi, naona masiasa ya CCM ya kutoheshimu kura za wananchi yanahatarisha usalama wa nchi.

View: https://youtu.be/ICFmDTaKIws?si=beqKar2A8NbtxRTe

Umeharibu mwishoni acha siasa kwenye mambo ya msingi, hao nyumbu wako wamekimbia uchaguzi baada ya kuona hawatashinda, CCM ni mlezi wa hii nchi hajapatikana mwingine na bado sana, uongozi unatoka kwa wananchi. Hao CCM unaowalaumu ndio wamelinda mipaka ya nchi na iko imara mpaka leo, unailaumu ktk lipi, uimara wa jeshi letu ni kwasababu ya CCM. Bila CCM imara hii ingeshamegwa vipande, Kagera siyo Iddi Amini tu hata KAGAME angeichukua afikie Ziwa Victoria. Africa kiukweli hakuna nchi ina mipaka km Tanzania. Ziwa Victoria, ziwa Tanganyika, ziwa Nyasa, Bahari ya Hindi bado mlima Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro hayo kwa machache ni nchi ipi inavyo? Be proud of your country if really you a citizen of this country
 
Hapa sizungumzi siasa, wala mimi siyo nyumbu wa kisiasa wa mtu yoyote.

WaTZ wengi hawana vyama vya siasa.

Na CCM au wanajeshi hawana nguvu ya kulinda nchi hii bila wananchi.

Unapokuwa na jamii imegawanyika, huo uwezo wa kuilinda unakosa.

Congo hawaamini kwenye KURA, kila mwanasiasa na kikundi msituni anapigana.

West Africa hawaamini kura, wanajeshi wanapinduana tu.

Sisi TZ, tunaendesha nchi kwa haki, katiba na mazungumzo,. Mwanasiasa wanagombea, wakikosa haki wanaenda mahakamani.

Sasa kama hutaki watu wapitie kura, bungeni hutaki waongee, mahakamani hutaki wapate haki.

Likitoke jitu baya lenye pesa, likaamua kufadhili vita, halafu Kagame, Burundi, Kenya, Malawi wakaliunga mkono, utabaki na nchi???

Hiyo CCM yenyewe mmeshauza kwa kina Rostam, GSM, Fisadi Papa Singa singa. Kwahiyo hao kina Rkstam, Sungasinga na GSM ni wazalendo wanapenda sana TZ, kuliko Lissu???
 
Huyo siyo aliyeanzisha mada. Msome Tena,ni mchangiaji.
Asante mkuu nimeona! Kumbe mleta mada naye aliingia kwenye mkumbo wa kutukana! Nimefuta ile post mkuu, kumbe ni hilo li-Sukuma la Sangamwalugesha!
 
Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.

Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.

Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.
Kinachosumbua Afrika ni mipaka ya kikoloni, baada ya kuanza kujitambua kuna baadhi ya maeneo unaona yapo upande flani kisanii sanii. Mikoa mingi ya mipakani ni utata sana.
 
Kinachosumbua Afrika ni mipaka ya kikoloni, baada ya kuanza kujitambua kuna baadhi ya maeneo unaona yapo upande flani kisanii sanii. Mikoa mingi ya mipakani ni utata sana.
Hiyo ni historical colonial fact, ambayp huwezi kuikwepa.

Shida kubwa ya sasa ni WIVU, kukosa akili na UJINGA.

Rwanda ni kinchi kidogo kama mkoa wa Tanga, ina watu milioni 14.

Burundi kama Rwanda.

Wamezaana wamekuwa wengi na kinchi hakitoshi, wanatafuta sehemu za kupumulia, kuhamia.
 
Unataka tuziletaje hizo kelele mkuu!?
Siku niwarekodi nilete video humu!?
Unaona hilo ni sawa!?
Umesema kelele zipo mitandaoni leta ushahidi.Kama huna ushahidi wowote you could be quite mpka uwe na ushahidi ndo uanze kutype.hakuna Sababu zozote za ww kutoitwa MMBEA.
 
Umesema kelele zipo mitandaoni leta ushahidi.Kama huna ushahidi wowote you could be quite mpka uwe na ushahidi ndo uanze kutype.hakuna Sababu zozote za ww kutoitwa MMBEA.
Ni kwa mtazamo wako,hivyo sitoendeshwa na mtazamo wako.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom