Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Kwa hiyo,ukaona wamemkomoa! Si ndio? Mwanaume mjinga,hawezi kucontrol hisia zake.
Mtu hujamkuta analia nyumbani kwako,aseme labda nimebakwa. Haya,kajipeleka mwenyewe,hujui wamekubaliana nini. Kosa la mwanaume hapo ni lipi? Kosa ni la mwanamke. Hujasema labda walipofumaniwa mwanamke alijibu nini. Mbele za watu akisema anatafuta alichokosa kwako? Hivi,unadhani miaka kama 100 huko nyuma fumanizi hazikuwepo? Ulizia watu wazima walitatua vipi changamoto hizo. Fedheha inaenda kwa mwenye kumegewa wala si kwa mmegaji kuu.

Ulimwengu wa sasa una yake. Na kwanza elewa. Mwanamke aliyewajua wanaume kabla ya kuhifadhiwa,hata umpe nini,atachepuka hata na chizi.
Na kumbuka,kuna wengine hutafuta mbinu za kuachwa kwa mtindo huo,baada ya kujaribu kila wanaloliweza na kugandwa na wenzao. Mwanaume kamili eti unaenda kumfumania mkeo. Huku kaipeleka mwenyewe?!
Ngoja ujae ndio utajua kosa ni la nani. Huyo jamaa tena ana huruma kutafuta njemba 2 mbili tu, hutafutwa njemba 5 na kuendelea, akitoka hapo ni hospital kwani kiuno na miguu vinakua havifanyi kazi.
 
Mistari miwili ya nguvu naona umempa Ibilisi kombe . 🤣🤣🤣

Na mimi nakumbuka kuna safari moja nilikuwa naenda Kahama nilikaa seat moja na toto na Kibrushi aisee the rest was 🥳🥳🥳🥳

Nimekuwa Shehe sasa hivi sitaki tena mademu wa safarini tena.
Kuna kupitiwa na shetani mkuu. Shetani akikupigia wee nenda tu usiogope😂😂
 
Ulifanya dhambi 3.
1. Kumlia rafiki mke tena kwake...hii dhambi mimi nimeishinda mara nyingi😂

2. Umemchafua mke wa mtu, matumizi mabaya ya nyege😂

3. Dhamimbi ya uasherati na zinaa zote kwa pamoja
Mimi at that time nilikuwa 20 tu braza sasa kosa langu ni lipi ?
Mgeni toka jijini ?
Kuogea shower gel ?
Kunukia vizuri ?
Kuwa na simu ya Nokia 2600 ?
Sikuwa hata na lengo la kumla yule Mwanamke ila ni yeye ndio alitaka aje kulala kwenye godoro sebuleni mara anawashwa mgongoni nimkune na Mimi ni Mwanaume timamu nikajikuta nimeteleza tu.
 
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.

Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu, ilikuwaje?
Ilikuwa hivi...

Kwanza.
Alijilenhesha....

Wake za watu wanajilengesha mno
 
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.

Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu, ilikuwaje?
Mmmmh
 
Haya,kwani wanaogonga wengine si masela tu. Kwanza,kama upo kamili,unatakiwa ujichunguze na ujue chanzo cha yeye kuchepuka ni nini. Kama una mapungufu,jirekkebishe. Kama yapo nje ya uwezo wako,acha aliwe. Haya,mmatukio haya umeyaona. Unadhani wanaowala hawajawahi shuhudia mengine zaidi ya hilo?

Acha nikupe kisa kilichonikuta mie: siku moja,kuna jimama lina watoto watatu,mmoja mkubwa alikuwa na kama 12 years. Halikuwa na baba watoto. Siku ya kufa nyani,miti yote ndo kama unavosikiaga. Si likawa na jipu? Kwenye paja.. akamtuma mtoto huyo kutafuta soda umbali wa kilometa kama 2 hivi. Kumbe dogo sijui machale yakamcheza,hakufika. Sasa ile kuonyeshwa jipu,sebuleni,tupo wawili,mkono ukapanda mpaka kivulini,fasta,mlingoti ukatembea. Si anajua mtoto amemtuma atakuwa hata hajafika! Mlango umeegeshwa tu. Mara paaaap. Litoto hilo hapo,na sukumawiki inachumwa. Mzeee! Sema tu yasikie kwa mtu. Ingelikuwa ni mwenye mali,kama hajitambui,hakika unakoma.
Duuh
 
Kumbuka Mungu alimlipa Daudi kwa wanawake zake kumi kuliwa na mwanaume mmoja aitwaye Absalomu kwa siku moja.

Yaani ukila mke wa mtu asiye na hatia, ujue wa kwako ataliwa na hapo Mungu analipa kisasi kwa ajili ya mwanaume ambaye si msaliti.
Duh huyo shababi Absalomu kiboko ya Davido sikuwahi kusikia! Nitamsoma
 
Enzi hizo alikuja Kwa Dada yake ambaye Mimi ni shemej yangu(mke wa kaka) walikuwa wamezinguana na Mme wake.

Hapo Kwa bro tulikuwa tuna Baki nae wawili tu na watoto 2 wadogo mmoja miaka 5 mwingine 3. Yale matani ya Shem Shem nikaona huyu mtoto anataka huyu. Akapigwa miti Tena sio mara akawa anakuja mara Kwa mara kumsalimia dada yake Hadi dada yake akajua akamwambia bro.

Tukio la pili nikiwa nimeo Nimetoka moshi na pisi Kali halafu siti moja.moshi ndo kwakwe anakuja kahama Kwa dada yake Nami nakuja kahama vilevile .safari yote akilala analala mapajani mwangu Nami ikawa inadinda.

Hapo moshi tulitoka saa7 mchana na hiyo gari ilikuwa inaenda mwanza hivyo walikuwa wanakuja kitu faurisha pale tinde.

Tulisafiri Mme wake wanaongea na sikia Kila kitu singida tukafika Hadi tunafika nzenga konda akasema abiria wa kahama shuleni mpande gari Ile pale muda ule kalala fofofo kachoka nikamwangalia tu Hadi gari ikaondoka zenga nikijua kabisa saivi hapo tinde hatuwezi pata gari pale ya kwenda kahama na hapo ndo nitaomba namna Gani tujipongeze na safari.

Kweli tukafika tinde nikamwamsha halafu nikamfaata konda nikamwabia gari ya kwenda Iko wapi? Akaanza kulalamika mbona tuliwaambia zenga kule nikamwambia tulikuwa tumelala nikamkazia kweli.

Muda huo Kuna wengine Jumla tulikuwa kama Saba tulio achwa.

Konda akanivuta akanitoa 15k maana Mimi ndo nilionekana namkazia sana.

Sasa baada ya kuachwa na gari hamna Kuna boda tu hapo nikamshauri twende loudge tukalale tu hamna namna nyingine tutapata usafiri kesho asbh tutatenda mi huku ni mwenyeji. Tukaenda loji za pale daaah😂😂😂😂

Kumbuka muda ushaenda na tumechoka sana. Na Mimi ndo anaitegemea Kwa Kila kitu muda huo.

Tumefika loudge mhudumu Wala hakuuliza mnataka vyumba vingapi nikalipia chumba kimoja halafu kipindi tunatoka nikarudi mapokezi chap kuchukua zana😹

Naye hakuuliza tukaonyeshwa chumba nikamwambia kaoge akasema nenda wewe muda siamini Nini kinaendelea hapa. Basi nia
kaoga nae akaenda oga akanikuta nimelala nachezea simu. Tukaanza story upya Tena. Muda nikamkumbatia na kumwambia maneno matamu.......tulilala Hadi saa4 maana alipo ingia loji tu simu akazi.a aliwataarifu tu nimelala tinde tumekoswa usafiri gari inaenda mwanza hii. Wakasema sawa hata hivyo umefika ni karibu tu.

Baada ya game nilijutia sana kumla mke wa jamaa na alionekana anampenda sana na kumwamini sana.

Nikatubu sasaivi nimeokoka ila ikitokea kama dhari Mimi ni nani hata niikatae neema Ile?.
😁😁😁Wewe jamaa ningeshangaa ukose ushuhuda wa kuvutia kwenye sekta hii😁
 
🤣🤣🤣
Longtime ago Nimetoka zangu Jijini kwenda kuwasalimia Bibi na Babu kufika wilayani pale nilikuwa nawasiliana na Jamaa yangu ambaye nilisoma naye primary miaka ile enzi za utawala wa BWM, kufika pale wilayani nikafikia kwa Baba zangu ambao ni wakaazi pale Wilayani. Jamaa alikuwa ni rafiki sana na nyakati nyingi tulikuwa tunawasiliana kwa simu nilivyofika pale Wilayani nikamcheki pia, akanielekeza nifike mpaka nyumbani kwake kwani tayari alikuwa ameshaoa at that time nilikuwa na age ya 20 tu na yeye alikuwa na 23 au 24. Kweli nikatoka kwa Baba yangu mdogo nikapanda daladala (baiskeli) mpaka kwake nilivyofika pale niko msafi nanukia Kijana kutoka Jijini. Nikauliza kwa fulani ndio wapi ? Nikaelekezwa na jamaa alikuwa ni maarufu kwa sababu alikuwa ameshajenga nyumba nzuri japo haikuwa ameifanyia finishing lakini ilikuwa ni yenye kuvutia sana. Jamaa alikuwa ni mpambanaji sana, kufika pale nikamkuta Mke wake ni kibinti kizuri hasaa Shombe shombe dizaini ya kina Shishi baby. Akanikaribisha tukasalimiana vizuri tu ilikuwa mida ya saa 9 alasiri. Nikamwambia mimi ni jamaa ya mume wake na mara ya mwisho tuliachana tukiwa darasa la pili mpaka sasa nikaribia miaka 11 hatujaonana. Nikampigia jamaa nikampata hewani akasema nimsubiri kitambo sana hatujaonana. Mke wake akaenda kukamata Jogoo na kuchinja, Sasa imefika mida ya saa 11 jioni jamaa akanicheki akaniambia mvua imenyesha sana uwezekano wa kurudi utakuwa ni mdogo sana maana maji yalikuwa yamejaa mtoni na kipindi hicho ule mto daraja lilikuwa halijajengwa na maji yalikuwa yana kasi sana. Kutoka nje na kuulizia eti ule mto X vipi unapitika ? Wakasema haiwezekani kupita maji ni mengi sana na hakuna daraja. Kumpigia jamaa hapatikani, ikabidi nibaki pale pale kwa jamaa. Shemeji akaniandalia maji tena ya moto nikaenda kuoga akawa ameenda kununua sabuni ya mgeni Giv nikamwambia nina sabuni yangu ya maji Shower gelly alishangaa kuona namimina kwenye maji naenda kuoga. Akaniingia bafuni akanusa harufu nzuri ya shower Gel acha abaki kushangaa na kisimu changu cha Nokia 2600 😃😃😃
Usiku nikala Wali na kuku, aliniwekea msosi mwingi sana lakini alishangaa nakula kidogo tu. Nikamwambia watu wa mjini hatuli sana kwa sababu hatufanyi kazi ngumu kama huku mikoani.
Wakati wa kulala akanitolea godoro pale sebuleni nilale maana ile nyumba vyumba vingine havikuwa hata na sakafu zaidi ya chumba wanacholala na sebule. Kanitolea godoro na shuka nilale pale, Chakushangaza na yeye akawa anataka alale pale pale kwenye godoro na sio chumbani kwake tena 🤣🤣🤣
At that time nilikuwa sina papara wala mambo mengi nikamuacha tu akalala, hee usiku akawa ananiwekea mitego maana alikuwa na kanga tu, mara miguu aweke hivi mara vile, mara mgongoni anawashwa nimkune, nikajikuta naanza kudinda na kipindi kile tulikuwa 2G nikasimamisha na yeye alikuwa anautaka aiseee.
Nilijikuta napiga shoo ya Kizembe na yule Shemeji , japo alikuwa hatosheki maana watu wa mikoani wana energy sana na hakukuwa na agano la kupiga shoo aisee yule Shemeji hakutosheka na Mimi at that time niko 20 nilishindwa kummaliza haja zake.
Kumekucha jamaa karudi alifurahia sana kuniona tukapiga sana story mpaka mchana akanisindikiza kwa kunipakiza kwenye baiskeli mpaka kijijini kwa Bibi.
Lakini Mke wake nilimla aisee japo shoo ilinishinda 😄😄😄😄
😁😁Uanaume wa dar ulikugharimu kupiga show mbovu, hata kula pia ulishindwa

Na alilazimika kukuwekea mitego kibao, la sivyo angetulia mngefika hadi asubuhi 0-0
 
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.

Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu, ilikuwaje?
Anza kwanza kutuambia wewe ulianzaje
 
Kwa hiyo,ukaona wamemkomoa! Si ndio? Mwanaume mjinga,hawezi kucontrol hisia zake.
Mtu hujamkuta analia nyumbani kwako,aseme labda nimebakwa. Haya,kajipeleka mwenyewe,hujui wamekubaliana nini. Kosa la mwanaume hapo ni lipi? Kosa ni la mwanamke. Hujasema labda walipofumaniwa mwanamke alijibu nini. Mbele za watu akisema anatafuta alichokosa kwako? Hivi,unadhani miaka kama 100 huko nyuma fumanizi hazikuwepo? Ulizia watu wazima walitatua vipi changamoto hizo. Fedheha inaenda kwa mwenye kumegewa wala si kwa mmegaji kuu.

Ulimwengu wa sasa una yake. Na kwanza elewa. Mwanamke aliyewajua wanaume kabla ya kuhifadhiwa,hata umpe nini,atachepuka hata na chizi.
Na kumbuka,kuna wengine hutafuta mbinu za kuachwa kwa mtindo huo,baada ya kujaribu kila wanaloliweza na kugandwa na wenzao. Mwanaume kamili eti unaenda kumfumania mkeo. Huku kaipeleka mwenyewe?!
Umeandika kwa kutetea ujinga. Zaman mwanamke akifumaniwa ilikua anapigwa mawe mpaka kufa. Ndio ujue zaman sheria/torati ilikua kali saana. Pili wewe mpaka unamtongoza mke wa mtu uliwaza nini..? Na ulitegemea ukimtongoza mke wa mtu akakubaki utamla na ukikamatwa ufanywe nini. ? Kuna baadhi ya watu hawakufiri wala kukuua ila wanakufirisi. Kama ukikataa dau kao wana kukula kiboga sasa na wanajurekodi na kutangaza video yako ukiwekwa pipe
 
Kwa hiyo, mi ndo nilikuwa wa kwanza au wa mwisho?
 
Kutembea na mke wa mtu ikiwa unajua ni mke wa mtu hiyo sio tamaa bali ubaradhuli usiokuwa na kifani.

Na mwanamke anaeruhusu kulalwa na mwanaume mwingine ikiwa yeye ni mke wa mtu basi huyo amepoteza sifa zote za kuwa mke wa mtu.

Ndoa ni muungano takatifu.
Hii zamani sana ili apply
 
Unayoongea ni ya kimaadili sana, lakini ujue ni kwa waadilifu tu.

Wanawake wote wenye vinasaba vya umalaya, ndoa haiwaachishi hulka zao, tena hujivuna na kujipaisha juu sana kuhusu title ya ndoa, tofauti na single mom ama nungayembe.

Anapotongozwa, hujikweza sana kwa cheo chake cha ndoa na kumhoji mkware kwa maringo: ...'mimi ni mke wa mtu lakini'... Sasa hapo mkware anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe kwa kujua analolifanya, thamani na malipo huongezeka.

Umalaya ndani ya ndoa ni kama uchawi ndani ya madhabahu, ni kichaka.
 
Kuna vitu wengine wanasahau.

SI kwamba nashabikia, kwa mada yangu, ila kama yeye ni mwema, basi ni yeye. Siku hizi, ni tofauti na huko nyuma. Watoto walikuwa wakillelewa kwenye familia zao na kuwa na maadili. Leo hii, mtoto anaenda kukaa na ndigi yake, bila kujali tabia zake. Mwanamke yeyote akianza kujitegemea kabla ya ndoa, anakumbana na mengi. Na hayo yote humuondoa utu, na kubaki kama hajielewi.

Mwanamke kutongozwa, ni ridhaa yake. Mwanaume nae, udhaifu wake upo machoni mwake. Mwanamke anapoenda kulilia mwanaume matatizo ya ndoa yake, unategemea nini? Siku hizi, watu wanakutana wenyewe, wanaoana wenyewe, wengine unakuta hata watoto wake ukoo wake huwajui. Zamani hayo yalikuwepo?

Sasa basi, anayesema kula mke wa mtu; mke wa mtu anajiheshimu, na ukiona ni wa hivyo, basi huyo kajiegesha hajaolewa. Mke anaejitambua ni salamu tuuu, hata maongezi mengine huwezi pata hata pa kuanzia.
 
Back
Top Bottom