hata mimi mwenye google pixel toleo lijalo sioni alicho andika.Sisi wa iPhone 17 hatuoni ulichoandikaView attachment 3443221
Hahahah 😂Sisi wa iPhone 17 hatuoni ulichoandikaView attachment 3443221
Ebu angalia BBC hapo, naona wako live sema cha mzungu ndio kikwazo👇👇👇
Hawajafikia muafaka bado yaani wamemaliza ila kila mtu bado ana lake moyoni👇👇👇