Dah pole sana kaka iyo ni ishara mbaya sana kwako,unatakiwa ujitafakali mwenendo wako sio mzuri kuna mapepo au mashetani au unaroho ya uasi,maana yake shetani anakutumia kwa kukutamanisha ni iv ww ni nyoka ni mambo yako ya kishetan tena shetani kakuvaa sanaa na ananutumia kwa nguvu nyingi sana...
Dah poleni sana familia ya askari wetu waliopoteza maisha na polen sana jeshi la polisi mungu awape nguvu msikatishwe tamaa na matukio km aya hii ni bahati mbaya sana kwenu,ila cc wananchi tunawaamini na tupo pamoja ktk kufichua wale wote wasiotakia mema taifa letu
Mda wa kazi nafasi ya kufanya siasa za uchochezi ushapitwa na wakati,tumewapa majimbo mtuambie mshafanya nn na mnataka kufanya nn sio wkt wa opereshen waacheni wtz masikini wafanye kazi msiwadae kwa matamko yasio na maana,bungeni mmekimbia xx sijui mnataka nn
Kwa tafsiri yako unatuambia kwamba raisi wetu wa nchi hii amemkimbia meya au amekimbia mji kwa sababu tu kuna wapinzani aaaah usinifuraishe kwa akili zako pia unafikili jiji kuchukuliwa na upinzani ni sawa kuchuliwa na maraika dah tunaitaji kufikili zaidi ok endelea kuota uku upo macho
Udikteta wa kuwatumbua majizi na wahujumu uchumi leo mnauita udikteta kweli tunaiona rangi halisi ya upinzani tz yaani leo magufuli dikteta kwa aya anayoyafanya tunaitaji kufikili zaidi ya hapa, go go magufuli umewashika mahala pake
Mikutano iyo inafaida gn kwetu cc wananchi km kula tumewapa kwenye majimbo mnayoyaongoza tunasubili mtuambie nn mmefanya mpaka xx, bungeni mmekimbia xx sijui mnataka kutuambia nn naona vurugu tu zinawasumbua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.