Recent content by kani mkali

  1. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Shikamoo mwanamke!!

    Ku Kupandwa ndio jukumu la msingi,mengine yanafuata
  2. kani mkali

    JamiiForums Tanzania MAAJABU... mchina kaleta taarabu

    Huyo jamaa mswahili kabisa,anaonekana mzawa.ukimkuta kwenye boti za kwenda znz utavunja mbavu
  3. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Mvulana Australia aweka jina lake Wikipedia bila kugundulika kwa siku mbili

    Unaonekana kujifanya "much know"wakati huna lolote..manake hapo umenipa mchapio mwingine tena "is not this logic"...CORRECTION,is this not logic au kama unakumbuka na question tag utauliza isn't this logic..SAWA SAWA?
  4. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Tohara ya kibamia

    :rolleyes::rolleyes::rolleyes:..ok,umeniwahi...!
  5. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Mvulana Australia aweka jina lake Wikipedia bila kugundulika kwa siku mbili

    Teh teh..ati logic.acha ubabaishaji.iyo mambo ya code mixing watu wanafanya ila kwa staili yako unapoteza maana ya sentesi..learning is a never ending process chukukua iyo weka kwenye kumbukumbu zako.kujifanya mjuaji haitakusaidia
  6. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Tohara ya kibamia

    Asilimia 95 ya mashine zimepinda...the later is the answer
  7. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Mvulana Australia aweka jina lake Wikipedia bila kugundulika kwa siku mbili

    Acha kujitetea kijinga..ukipenda kukosoa na wewe kubali kukosolewa...unabisha Nini sasa na umechapia...
  8. kani mkali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia condom?

    k Kikunio si kipo,tatizo nn?
  9. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Unampa ngapi mwanamitindo huyu?

    Kabla ya kula mboga kwanza unacheki chumvi pale uvinza,kisha unakula mboga yako taratibu..
  10. kani mkali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

    tatizo uwa mnawapa na watu wa ajabu ndio maana mnajisikia embarassed akikutangaza...
  11. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Dr. Charles Mulokozi atiwa mbaroni kwa kutoa Vibali vya kusafirisha Tumbili 62 kwenda Albania

    Hahaa ha haa..tena. Hiyo ni ancestors traficking..
  12. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Askari wetu hubeba silaha za kivita!!

    Ungejaribu kuuliza kijiweni kwenu kwanza kabla haujatuletea humu huenda hata vijana wa maskani wangeweza kukupa jibu...
  13. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Weka neno kwa Mh. Rais

    Aisee utapitaje na iyo kitu hivi hivi,lete nionje bhana,nani kakuambia nimeacha
  14. kani mkali

    JamiiForums Tanzania Kumbe bongo kuna wazungu pia wateja wa kuvuta unga?

    Huyo mzungu si anakwapua hata mkoba...Anaonekana ashakua wa kienyeji huyO,Mzungu mswahili
  15. kani mkali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amekuta nywele za siri chumbani kwake

    Kama ameziona sio za siri tena...!
Back
Top Bottom