Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
Tofauti ni kwamba yeye anakuwa msafi (mavazi) ila wale jamii yetu waliowengi nguo sijui huwa awafui nitapita leo pale kinondoni Manyanya niwapige picha ili tuliganishe.
WApige Pichamateja wa kibongo nipate kuwaona Mkuu.Tofauti ni kwamba yeye anakuwa msafi (mavazi) ila wale jamii yetu waliowengi nguo sijui huwa awafui nitapita leo pale kinondoni Manyanya niwapige picha ili tuliganishe.
Sisi sote tupige vita huu uozo kwa nguvu zote. Just imagine kama ni mwanao ambaye ulimsomesha kwa kuumiza mgongo asubuhi na mchana kwenye kilimo.Usidanganywe mkuu, wote sawa tu..... Nilipata opportunity na kuishi pande hzo US & UK for some years, nimejionea.
Man ni wamechoka haswaa...sema wanaojitambua serikali yao ina wajali na kuwapa msaada wa kutosha. Na mtu homeless kule ni anateseka kuliko huku. Yan anaye ponda bongo muangalie tu.
This drug stuff will kill everything u love.
Sisi sote tupige vita huu uozo kwa nguvu zote. Just imagine kama ni mwanao ambaye ulimsomesha kwa kuumiza mgongo asubuhi na mchana kwenye kilimo.
Hawawezi kukuzingua. Ila inabidi uwatoe hata buku waambie unatoka mbele na unarudi muda si mrefuWakinipiga mawe uje unisaidie mkuu ha!ha!
Acha tu, inakera sanaa. The money in this biz is that kuna repeated customers almost every day....mtu US anapiga mzigo all day ila hela ya dose yake lazima atenge. Ni utumwa wa ajabu.
I hate these people wit passion. Alaf ndio uje uone mwanao teja unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo. Kuna msela nilipiga nae high school form 1 mpaka 6 alikua ni bright balaaa....ranking yake alikuwa ni wa kwanza au wa pili overall in the batch nadra sanaa kuwa wa tatu.
Nikaja ambiwa ni teja kinondoni hapo na nlimuona kwa macho yangu, nikaamini. Niliumia sanaa acha tu. Sasa sijui wazazi wake watakua katika hali gani.
Huyu msela alisoma Tambaza nini? dah umenikumbusha msela wangu alikuwa safi smart mtaratibu mpenda watu afu kichwa sana sema alikuja kubwia madude mpk tukashangaa ameingiaje huko.!!
Hapana mkuu, huyo atakua mwingine....ila hii kitu sio issue. Lot of dreams come to an end.
Kulea watoto kuna kazi sanaa. Daah
Mkuu Haya madawa ya kulevya ya sikie tu.Mdogo Wangu alikuwa teja balaa.hali,halali,Mwizi Na balaa kibao.Acha tu, inakera sanaa. The money in this biz is that kuna repeated customers almost every day....mtu US anapiga mzigo all day ila hela ya dose yake lazima atenge. Ni utumwa wa ajabu.
I hate these people wit passion. Alaf ndio uje uone mwanao teja unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo. Kuna msela nilipiga nae high school form 1 mpaka 6 alikua ni bright balaaa....ranking yake alikuwa ni wa kwanza au wa pili overall in the batch nadra sanaa kuwa wa tatu.
Nikaja ambiwa ni teja kinondoni hapo na nlimuona kwa macho yangu, nikaamini. Niliumia sanaa acha tu. Sasa sijui wazazi wake watakua katika hali gani.
Mkuu Haya madawa ya kulevya ya sikie tu.Mdogo Wangu alikuwa teja balaa.hali,halali,Mwizi Na balaa kibao.
Nikampeleka Zenji(Zanzibar)kuna zahanati inayo wasaidia mateja.Sikujali itagharimu kiasi gani ili anusurike tu.Gharama kuanzia Tsh laki tano mpaka Milion inategemea atakaa muda gani.
Mdogo Wangu kapona Lakini utafikiri bado anayatumia kwa udhaifu wa mwili.
Nawaombea kwa MyeeziMungu Watu wote wasije kuingia katika haya madawa ya kulevya.
Inasikitisha sana mkuu. Kikubwa tushirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kuokoa jamii yetu.Acha tu, inakera sanaa. The money in this biz is that kuna repeated customers almost every day....mtu US anapiga mzigo all day ila hela ya dose yake lazima atenge. Ni utumwa wa ajabu.