Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Weka neno
hahahahahHahaha!aacha utani kabisa wewe,yaan mimi nishindwe kumaliza hako kachupa kamoja tu hako.
Nyuma ya pazia wana maisha nje ya vyeo vyaoHawa marais tuwaone tu kwenye majukwaa ukibahatika kukaa nao nyuma ya pazia utafikiri sio Rais.