Recent content by kangau

  1. kangau

    JamiiForums Tanzania Airtel, huu ni wizi na ubabaishaji

    Hili limenikuta, nimewapigia wanasema " kuna tatizo katika mfumo wao wa upumuaji"
  2. kangau

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    R.I.P mwamba wa kaskazini[emoji3583]
  3. kangau

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Corona nchini Rwanda wafikia 70

    Tuambie wewe za ukweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kangau

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

    Tuache upotoshaji, jamaa katimuliwa tar 20 comment ni ya tar 22, huwezi sema cimment hiyo ndo imemfukuza Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kangau

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?

    Hakuna tapeli ambaye hana ofisi mjini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kangau

    JamiiForums Tanzania Public relations: Mama Janeth Magufuli anaweza kuwashawishi wake za Mabalozi nchini kutembelea vivutio vyetu vya utalii?

    Tatizo ni kupata kibali cha kufanya mkusanyiko wa hadhara. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kangau

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kikitokea hapa nchini utafurahi na kurukaruka kama zuzu

    umeme ukikatika.
  8. kangau

    JamiiForums Tanzania Je, utapeli unaoendelea kwenye yard za kuuzia magari, wamiliki wanashirikiana na matapeli? Polisi nao je?

    kuna mshkaji alipigwa 40m, na mikataba akasign kabisa kila kitu fresh kumbe ndo kasha liwa ivo, bahati nzuri mzee wake yupo huko kwa wakubwa.peaa ikarudi 36m
  9. kangau

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    Duu!!!Bora wangesema imedukuliwa.
  10. kangau

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

    mbongo kila kitu ni kupondea na lawama tupu.
  11. kangau

    JamiiForums Tanzania Wanaomkubali na kutaka Rais aongezewe muda, mmeshajiuliza kuhusu haya?

    ununuzii wa ndege ununuzii, nikajua kaiba ndege
  12. kangau

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

    Lazima mume awe na pesa tu. ili ndoa iende.
  13. kangau

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    hiyo asset (mashine) kama ilivyo forklift truck.
Back
Top Bottom