Airtel, huu ni wizi na ubabaishaji

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,679
2,000
Wakuu habari za asubuhi,

Bila kupoteza muda ngoja niende kunako mada.

Juzi nimejiunga na kifurushi cha mwezi mmoja cha Airtel ambapo ndani yake pia kuna sms zipatazo 1500. Sasa leo asubuhi hii kuna jamaa yangu kanitumia sms ile kumjibu naona zinagoma, then nashangaa natumiwa sms kutoka Airtel kua nimetumia sms zangu 1500 zote.

Jamani nyie Airtel hivi mimi mwanaume mzima naweza kutumia sms 1500 within 3 days? kweli? mbona mnataka kunidharirisha hivi?

Yaani mmenikata stim asubuhi na mapema kabisa. Ni afadhali hata mngeniamba data bundle limeisha hata kwa siku moja fresh tu ila sio kunidharirisha mwanaume mzima eti nimetumia sms 1500 kwa siku tatu wezi wakubwa nyie.
 

Sir Midabwada

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
498
1,000
Ofkooz mitandao imekuw too much criminals.. mb zinakwish kiajab Ajab tu juz nljfanyiw utovu na TTCL yani status 7 plus nyimbo 3 yani 300mb zimeisha !? How comes? Nimeagana na nyinyi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom