Recent content by KANDA MBILI

  1. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania CDE Bakari Mwacha Katibu wa CCM(W) Missenyi aendelea kujichimbia kaburi kwa wana Missenyi

    Ukiona mkaa mjini ujue miti mingi imeteketezwa. Ukiona minong'ono imezidi ujue kuna jambo halijakaa vizuri na usipokuwa tayari kuziba ufa andaa bajeti ya kujenga ukuta. Missenyi ina shida nyingi na Bakari ana shida nyingi. Fahari wawili huwa hawakai zizi moja. Wakikaa huenda nyasi zikaumia au...
  2. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Watumishi wangapi wamepita ambayo siyo wakina Kaizirege na wakapokelewa vizuri na wakafanya mambo mazuri ambayo hadi Leo yanakumbukwa. Siyo huyo Mwacha ndumilakuwili
  3. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
  4. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Jeska Kishoa acha kutuhadaa Wananchi wa Iramba Magharibi

    Ni lini wapinzani tutakuwa mbadala wa chama tawala kama sisi wenyewe tunaendelea kujitafuna. Jana tumeona majimbo mengi CCM wakipita bila kupingwa kutokana na makosa tunayoyafanya wenyewe na kuwapa nafasi hawa wakoloni weusi kuzidi kututawala. Dada yangu Jeska wewe siyo mtu wa kufanya makosa...
  5. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Kuangalia picha na video za ngono ni tabia mbaya na ni chafu sana

    Mafundisho mazuri sana haya...
  6. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Beautfully Girl from Somalia... Rwanda wajipange sana....

    Dah Htari sana watoto wazuri hawa.
  7. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania BEKI TATU AULA BURUNDI

    he he he he ndoa ya Bashite tena???
  8. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni humu ndani

    Karibu sana, ngoja nikutafutie na mke kabisa kama hujaoa
  9. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania BEKI TATU AULA BURUNDI

    Hii nzuri sana hii. Ila ikitokea hapa bongo, lazima watu waandamane
  10. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, mapepo (demons)ni sehemu ya uumbaji?

    Hakuna majini mabaya wala mazuri acha fix. Jini ni Jin tu, kwa tamaduni za kiarabu wanaitwa majini, kwa tamaduni za ulaya wanaitwa demons.
  11. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Yatosha ..

    Moyo sukuma damu, vingine achana navyo....
  12. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania hivi vimidomo sijavielewa kabida

    Vimetoka kulambana
  13. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

    Kila la heri.....
  14. KANDA MBILI

    JamiiForums Tanzania Muigizaji maarufu nchini India,Kareena Kapoor asilimu awa Mwislamu

    Ni nani huyu?? Mbona mgeni?? Kwa nini aanzishiwe uzi kabisa JF kwa ishu zake binafsi?? Ngoja na mimi nianzishe uzi nimenunua li bata mzinga kuubwa kwa ajili ya kuchinja Krismasi ijayo.
Back
Top Bottom