robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,111 3,294 May 4, 2017 #9 we mkali hadi umehitimisha! unajuaje na watazamaji wanataka vigezo gani??
kirikou1 JF-Expert Member Nov 8, 2016 4,815 6,517 May 4, 2017 #11 Ila pale kati hua hawana tofuti sana,
mulwanaka JF-Expert Member Feb 19, 2017 5,262 12,855 May 4, 2017 #16 kwani wote wanafanani hivo???? mbona kawaida sana ata hapa wapo design hiyo tena wakali zaidi
shululu JF-Expert Member Jan 26, 2015 28,137 109,901 May 4, 2017 #18 Mambo yote Sudan kusini, Ethiopia, Eritrea na visiwa vya Comoro
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,648 18,732 May 4, 2017 Thread starter #20 Maeneo flani Mogadishu... Somalia