Friday Malafyale JF-Expert Member Jan 18, 2017 1,808 2,911 May 4, 2017 #2 Jua basi.nae aliwa huko Burundi maana huwezi kuula bila.kuliwa
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 May 4, 2017 #3 Mbona huyu rais kafanana sana na rais Joseph Kabila wa drc? Kuhusu huyo house girl lazima mengi sana yamesemwa kichinichini!
Mbona huyu rais kafanana sana na rais Joseph Kabila wa drc? Kuhusu huyo house girl lazima mengi sana yamesemwa kichinichini!
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 May 4, 2017 #4 Kwa jinsi huyo binti alivyo mrembo jamaa atakuwa kadonoa sana.
Duduvwili JF-Expert Member Jan 31, 2015 4,261 4,338 May 4, 2017 #6 PROF NDUMILAKUWILI said: Kwa jinsi huyo binti alivyo mrembo jamaa atakuwa kadonoa sana. Click to expand... Nkurunzinza tena?
PROF NDUMILAKUWILI said: Kwa jinsi huyo binti alivyo mrembo jamaa atakuwa kadonoa sana. Click to expand... Nkurunzinza tena?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 May 4, 2017 Thread starter #7 Friday Malafyale said: Jua basi.nae aliwa huko Burundi maana huwezi kuula bila.kuliwa Click to expand... duh yashakua haya
Friday Malafyale said: Jua basi.nae aliwa huko Burundi maana huwezi kuula bila.kuliwa Click to expand... duh yashakua haya
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 May 4, 2017 Thread starter #8 Naisujaki Lekangai said: Mbona huyu rais kafanana sana na rais Joseph Kabila wa drc? Kuhusu huyo house girl lazima mengi sana yamesemwa kichinichini! Click to expand... watu wa ukanda huo hata sisi wanatufananisha nadhani
Naisujaki Lekangai said: Mbona huyu rais kafanana sana na rais Joseph Kabila wa drc? Kuhusu huyo house girl lazima mengi sana yamesemwa kichinichini! Click to expand... watu wa ukanda huo hata sisi wanatufananisha nadhani
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 May 4, 2017 Thread starter #9 kisu cha ngariba said: Sio mke mdogo? Click to expand... wewe wasema
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 May 4, 2017 Thread starter #10 kisu cha ngariba said: Sio mke mdogo? Click to expand... hayo sina hakika nayo
KANDA MBILI Member Jul 9, 2012 60 57 May 4, 2017 #11 Hii nzuri sana hii. Ila ikitokea hapa bongo, lazima watu waandamane
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 May 4, 2017 Thread starter #12 KANDA MBILI said: Hii nzuri sana hii. Ila ikitokea hapa bongo, lazima watu waandamane Click to expand... HATA NAMI NIMEIPENDA
KANDA MBILI said: Hii nzuri sana hii. Ila ikitokea hapa bongo, lazima watu waandamane Click to expand... HATA NAMI NIMEIPENDA
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,644 18,707 May 4, 2017 #13 Mbona huyo house girl anafanana na watoto wa Kagame?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 May 4, 2017 Thread starter #14 Jambazi said: Mbona huyo house girl anafanana na watoto wa Kagame? Click to expand... kweli mkuu
Testar JF-Expert Member May 30, 2015 7,608 12,818 May 4, 2017 #15 KANDA MBILI said: Hii nzuri sana hii. Ila ikitokea hapa bongo, lazima watu waandamane Click to expand... Mbona hatuja andamana ya Bashite?
KANDA MBILI said: Hii nzuri sana hii. Ila ikitokea hapa bongo, lazima watu waandamane Click to expand... Mbona hatuja andamana ya Bashite?
KANDA MBILI Member Jul 9, 2012 60 57 May 4, 2017 #16 CHARMILTON said: Mbona hatuja andamana ya Bashite? Click to expand... he he he he ndoa ya Bashite tena???
CHARMILTON said: Mbona hatuja andamana ya Bashite? Click to expand... he he he he ndoa ya Bashite tena???
Jimmy George JF-Expert Member Nov 28, 2016 1,733 1,648 May 4, 2017 #18 Atakuwa katoa sababu za msingi Lakini ni ngumu kuzibitisha ni vipi anakuwa bora