mis lemich
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 207
- 176
Nimegundua kumbe naweza bila huyu aliyechanachana moyo na maisha yakaenda yaliyopita kubaki hadthi baada ya kuona kumbe duniani watu wameumbwa kwa usawa wa aina yake .. Tofauti zetu ni chache Sana asilimia kubwa tunafanana . Maneno haya ni faraja tosha kuufariji moyo ili uache yaliyomo yawe Kama hadithi... Na kuacha moyo Kama ulivyo