Natafuta Rafiki wa Kike Tuyajenge

Jan 21, 2017
10
2
Habari wanajamvi,
Nahitaji binti ambaye tutakuwa marafiki na baadae Mungu akijalia tuweze kujenga familia. Umri awe kati ya 24 - 27, umri wangu ni 28.
Kwa sasa najishughulisha shughuli ndogondogo ili kuendesha gurudumu la maisha. Chuo nimemaliza Public Administration (BA). Nilipta kazi, kipindi fulani ila haikuwa ya kudumu(Project based). Binti awe mkristo mcha Mungu dhehebu lolote, yupo katika ajira au ajira binafsi. Awe mwembamba kiasi, rangi yoyote. Naomba nipm for more details.
Karibu tuyajenge.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom