Recent content by Kamukhm

  1. Kamukhm

    Halmashauri ipi nchini inafaa kupandishwa hadhi kuwa Jiji la Saba?

    Kahama haina miundombinu.. Lakini katika nchi nzima ndio mji pekee pamoja na ukuaji wa haraka, Manispaa imejitahidi Ku maintain access kwa taratibu za kimipango miji. Squatter kahama ni chini ya asilimia 10-15 tuu.. Ukilinganisha na miji mingine mikubwa nchini
  2. Kamukhm

    SI KWELI Dola Bilioni 5 cash na dhahabu ya dola milioni 700 zakutwa kwenye nyumba ya Buhari marekani

    5bn dollar in 100$ bills would weigh around 50tonnes. Let's take a minute to think. How did they bring It in that house?! What type of cars brought the cash in the house..? Did they have to set up cranes to move the stacks of cash inside?? Think My friend.. Think
  3. Kamukhm

    Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mtoa Mada Yuko sahihi. Kahama kwa Sasa imeanza kuvutia Wawekezaji wakubwa ..hakuna mwekezaji mkubwa anataka apelekwe na ma V8bkm 1000. Nakumbuka Mkurugenzi aliyetoka nikiwa na Taasisi Moja hivi ya Dubai tuliwahi kufikisha wazo la upanuzi wa uwanja ule wa ndege tukiwa tumepitia TAA ...akasema...
  4. Kamukhm

    Kahama: Manispaa isiyo na barabara za lami za mitaa

    Community center. Nyihogo. Wakati huo Mji ule ulikuwa mzuri sana.. mdogo ila wenye utaratibu sana.
  5. Kamukhm

    Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Rahisi kwenye maneno kuliko vitendo. Kwa namna walivyoagana..huyo mama hawezi kumuacha mtoto. Ni vita mpya. Ambayo ina uwezekano mkubwa wa kumuumiza mtoto kuliko huyo mwanamke. Busara ni kuacha mtoto mpaka akue kidogo kufanya maamuzi binafsi. Tabia ya mtu haijifichi, na mtoto naye atafahamu...
  6. Kamukhm

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

    Mnarogana.sana pale..ndio maana Kasi ya maendeleo haiendani na sifa.ya Mji ule
  7. Kamukhm

    Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    Uwezo wa kung'amua mazingira yako ni muhimu sana kutiliwa mkazo katika malezi ya watoto. Unakuta mtu yeye ndio first generation educated kwenye ukoo na uzao wa kwanza kuishi mjini... Anajilinganisha kimafanikio na watu ambao Babu zao walizaliwa mijini, na biashara aliamza Babu yake Babu...
  8. Kamukhm

    Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    Wengi tunaangalia outliers. Majority ya watoto kutoka familia masikini watajenga @ the age of between 35-50. Na wengine watamalizia kwa pension kama waliajiriwa na wengi hawatajenga kabisa. Wengine mafanikio yao makubwa watawapitisha watoto wao shule. Just the hustle ya kutafuta Ada, na...
  9. Kamukhm

    Nauza heka zangu 3 mili 3 na nusu

    Nishapigiwa mahali Kibaha tuu hapa, halafu ikaja ishu ya wanasheria (bush lawyers wakatula nyingi kuliko hata ya mnunuzi ya Ardhi) na mwisho miaka 10 baadae jamaa kaka kabomoa kwa Amri ya Mahakama... Ninajua first hand ninachokisema. Matapeli wa Ardhi ni syndicate..nashangaa kwann usalama wa...
  10. Kamukhm

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    In my opinion, there is never the right or not the right person for anyone when speaking about relationships, only the right circumstances and the right mindset. Relationships are neither magic affairs nor scientific..they are deeply rooted in beliefs and faith. Everything else is just...
  11. Kamukhm

    Wanaume, acheni kulazimisha utiifu kutoka kwa wanawake!

    Umesema upande mmoja. Upande wa pili ni, Heshima ni tabia na malezi. Uwezo wa kuonesha heshima ni busara. Na malezi ya watoto wengi ambao ndio wanawake wa sasa sehemu hii ilisahaulika sana. Heshima ya kweli Iko ndani ya moyo wa mtu. Kinachoonekana kwa wengine ni treatment tuu inayojengwa juu...
  12. Kamukhm

    Nauza heka zangu 3 mili 3 na nusu

    Veeeery wrong approach. Haki ya Ardhi haipokwi kirahisi. Aidha utainunua tena au utafukuzwa. Acha kubeti na future ya uwekezaji wako.
  13. Kamukhm

    Nauza heka zangu 3 mili 3 na nusu

    Hata kama anayo... Kama eneo lina umiliki wa Wizara kabla ya umiliki wake ...umiliki wake ni batili. Ardhi ya RAZABA au ukisikia harufu tuu ni ya kukaa nayo mbali sana. Na Kuna Shamba liko Visiga Viwandani watu wanapigwa mpaka Leo. Kwa kifupi Ardhi ya Bagamoyo/Kibaha/Mkuranga iliyo karibu na...
  14. Kamukhm

    Kuna basi la moja kwa moja kutoka Mwanza hadi Ifakara?

    Hakuna kiongozi. Aidha pande premier ya mbeya ushuke.irimga uanzie iringa asubuhi au uje mpaka Morogoro..uanzia Morogoro ambapo ndipo pauhakika zaidi
  15. Kamukhm

    Bodaboda mnawahi wapi?

    Boda boda Wana shida kubwa...na shida yao ni ya malezi. Hawana uvumilivu/ustahmilivu. Hawana mpango binafsi na mpango wa pamoja. Kila mtu kugombania ndiko kunakowafabya wawe na haraka zisizokuwa na maana. Bodaboda hana mpango maalumu, yaani hajui ili siku yake iwe successful anatakiwa abebe...
Back
Top Bottom