Recent content by kampapa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Heri unyamaze uache kukosoa usije shangaa ukiambiwa umehujumu jitihada za serikali kusaidia raia wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wadau nadaiwa na M-Pawa Tsh 65,000, kila mara wananitumia sms za vitisho

    Wanakutumiaje msg wakati line imefungiwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huenda mwezi huu ndio ukawa mwisho kubeba Boksi

    Bila shaka utakuwa unafanya mipango ya udukuzi Wa ma-bank!Ngoja niwashitue ma- cybers waanze kukufuatilia[emoji12]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wa Siwema namba 1&2
  5. K

    JamiiForums Tanzania Iringa: RC Hapi awataka Yusuf Makamba, Kinana na Membe kunyamaza kwani muda wao wa utumishi umeisha

    Mbona unatoa bado unatoa siri! Hayo mambo kajadilini huko ndani ya vikao vyenu! Sisi wengine hatutaki kusikia ubabe wenu wa kutunishiana misuli tunataka nchi iende mbele!
  6. K

    JamiiForums Tanzania IQ Test: Dada huyu wa kinyarwanda alijuaje kama mimi sio mnyarwanda?

    Weka sura yako tukuone inawezekana hata hivyo wewe sura yako sio Mtanzania![emoji12]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

    Kwa hiyo kila wiki unanunua nguo! Hizo nguo ni aina gani nepi au pampas!?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

    Tupia video tuone na kutoa maoni basi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maana kweli ya kulipia kodi ya majengo kwa nyumba ya kuishi?

    Tulia wewe. Endelea kusoma namba. Si tuliipenda wenyewe?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jifunze visa na mbinu za kukabiliana na wezi wa majumbani

    Namba12 nimeipenda
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Uliza chochote kuhusu Drone

    Drone ndio nini?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Acha kulialia jiajiri mwenyewe!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatuko sawa, hata wanyama wanafahamu

    Hata wao wananijua ni viumbe dhaifu ndiyo maana wanadiriki hata kuvaa suruali ili angalau waonekane sawa na wanaume lakini thubutuuuu! Wanajidanganya.
Back
Top Bottom