Huenda mwezi huu ndio ukawa mwisho kubeba Boksi

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka wanajamvi!

Maombi yenu yanahitajika sana.

Niko hapa ghetto sasa hivi nikiweka mipango yangu ya kukamata hela ndefu sana. Yani nikimaanisha hela ndefu ni ndefu kweli kweli siyo chenji. Ni hundreds of thousands of dollars and euros and as days go on it can reach millions nina uhakika nachoandika.

Kuna strategies za kuaminika za kukamata huo mpunga ambazo na finalised sasa hivi. Yani toka ijumaa nilichukua sickleave nimejifungia ghetto na kuanzia kesho lazima ziwe effective.

Kwenye hizi strategies sijakurupuka. It took me several weeks of painstaking massive research na ijumaa kitu kikaanza kutikii.

Hadi ifike kesho saa tano usiku nitajua kama nitaendelea kubeba boksi au la. Hizi strategies zikitiki kesho, kazi yangu itakuwa moja tu ni kukaa ndani ghetto muda mrefu nakutumia simu kompyuta na kalamu na kujaza hundreds of forms.

Nataka kwa siku niingize si chini ya dollars/euros 15,000 na kodi nitalipa.

Niko excited kweli ila mnisamehe sitawaambia ni strategies zipi kwa sasa. Ila kwa njia moja ama nyingine nifanikiwe kwenye hii mipango new year 2020 hapatakalika I will turn this city upside down. Niombeeni tu uzima na afya na mafanikio i will share my advance success later .
 
Mzuqa wanajamvi!

Maombi yenu yanahitajika sana.

Niko hapa ghetto sasa hivi nikiweka mipango yangu ya kukamata hela ndefuu sana. Yani nikimaanisha hela ndefuu ni ndefuu kweli kweli siyo chenji. Ni hundreds of thousands of dollars and euros and as days go on it can reach millions na uhakika nachoandika.

Kuna strategies za kuaminika za kukamata huo mpunga ambazo na finalised sasa hivi. Yani toka ijumaa nilichukua sickleave nimejifungia ghetto na kwaanzia kesho lazima ziwe effective.

Bila shaka utakuwa unafanya mipango ya udukuzi Wa ma-bank!Ngoja niwashitue ma- cybers waanze kukufuatilia
 
Mo ana billion Dollar ila hana mpango wa kuturn this City upside down.. ila wewe kupata thousands dollars unataka uwakanyage wenzio vichwani..
Mwisho unajitia mikosi unashindwa fanikiwa maana huna malengo mazuri na hiyo riziki unayotaka kupewa.. unakumbuka kisa cha yule tajiri mkulima kwenye biblia alivyokua anaawaza na kilichomtokea..Jiangalie.

Maskini akipata....
 
Aiseee davinchi kuna watu wanakeragasana. Kuna dogo flani anashindanaga sana na mimi aliletwaga hapa akiwa mdogo na maza yake kutoka bongo. Dogo anadharau sana huyo ndio wa kuanza naye
 
Mzuqa wanajamvi!

Maombi yenu yanahitajika sana.

Niko hapa ghetto sasa hivi nikiweka mipango yangu ya kukamata hela ndefuu sana. Yani nikimaanisha hela ndefuu ni ndefuu kweli kweli siyo chenji. Ni hundreds of thousands of dollars and euros and as days go on it can reach millions na uhakika nachoandika.

Kuna strategies za kuaminika za kukamata huo mpunga ambazo na finalised sasa hivi. Yani toka ijumaa nilichukua sickleave nimejifungia ghetto na kwaanzia kesho lazima ziwe effective.

Kwenye hizi strategies sijakurupuka. It took me several weeks of painstaking massive research na ijumaa kitu kikaanza kutikii.

Hadi ifike kesho saa tano usiku nitajua kama nitaendelea kubeba boksi au la. Hizi strategies zikitiki kesho, kazi yangu itakuwa moja tu ni kukaa ndani ghetto muda mrefu nakutumia simu kompyuta na kalamu na kujaza hundreds of forms.

Nataka kwa siku niingize si chini ya dollars/euros 15,000 na kodi nitalipa.

Niko excited kweli ila mnisamehe sitawaambia ni strategies zipi kwa sasa. Ila kwa njia moja ama nyingine nifanikiwe kwenye hii mipango new year 2020 hapatakalika I will turn this city upside down. Niombeeni tu uzima na afya na mafanikio i will share my advance success later .
MZUQA SIRNA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom