Recent content by kampanga

  1. kampanga

    Msaada wa kisheria kuhusu Bank

    Asubiri Tu hakuna hatua hapo
  2. kampanga

    Ni sawa kuwa na mahusiano/kuoa mwanamke unayejua wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi?

    Kwa akili yako ilivyo kuepuka matatzo kaoe wilaya nyingne inaonekana haujiamin
  3. kampanga

    Ushauri: Nimempa mimba binti ambaye si wa ndoto zangu

    Nani atakua wa ndoto zake sasa,, angekua Ni bint yangu ningekukamatia mpaka umuoe,,, yanini kumchezea mtoto wa watu
  4. kampanga

    Mtu akitaka kukusaidia kujiendeleza taaluma yako na wewe ufanye nae mapenzi, utachukua uamuzi upi?

    Ni aibu kujidhalilisha ,,,itumike mbinu mbadala ya kufight kivingne cyo Hyo... Huko Ni kuuza utu
  5. kampanga

    Naomba Msaada, mekosa ada laki tatu

    Ongea na mkuu wa chuo uso kwa uso atakusaidia,,,
  6. kampanga

    Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Mtoa mada una roho ya husda sana,, omba Mungu akubadilishe hyo roho,,
  7. kampanga

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikali

    Tatzo nini mpk ufungishwe ndoa na mkuu WA wilaya?? Jipange ufunge ndoa halali ya kidini
  8. kampanga

    Ushauri: Anataka kurudi chuo na miaka 30+, ana mume na watoto

    Mbna huo umri mdogo Sana, cha msingi kuwa makini usije ukatelekeza familia kwakuwa maisha ya chuo ni ya maigizo usipokua makini utamsaliti mumeo
  9. kampanga

    Kesi yangu imesogezwa mbele tena mpaka tar.18/4/2018

    Mtemi ktk ubora wake amekua mpole
  10. kampanga

    Mnaotaka kuoa jipangeni, acheni kusumbua watu

    Mtoa mada hayo ya pekeako,, uchumi wako aupo vzr ,,mbona jambo la kawaida kumchangia mtu harusi
  11. kampanga

    Nimepata dhamana na kutoka mahabusu Magereza Butimba-Mwanza

    Karibu deo,, omba chama cha walimu wakusaidie Wakili wa kukutetea
  12. kampanga

    Mwelekeo wa chama cha ACT Wazalendo katika mwaka 2018

    Act wazalendo Namkubali sana Ado shaibu ni kijana ambaye anafanya siasa za kifkra,, yupo makini sana,,
  13. kampanga

    Napenda kazi ya utangazaji, nahitaji wa kuniongoza

    Kasome kozi ya uandishi na utangazaji elimu itakubeba,, mambo ya vipaji bila elimu hayapo siku hizi
  14. kampanga

    Wanawake saba wenye ulemavu waliofanya vitu vya kipekee

    Picha zenyewe Hakuna,, uandishi nao majanga
Back
Top Bottom