Mwelekeo wa chama cha ACT Wazalendo katika mwaka 2018

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Joined
Mar 2, 2007
Posts
1,562
Reaction score
10,896
Mwelekeo wa Chama cha ACT Wazalendo Katika mwaka 2018

1. Kupigania Haki za Wafanyakazi kupitia Vyama vya Wafanyakazi na haki za raia kupitia vyama vya Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara wadogo kwa kujenga ushirikiano wa kipambano na Jumuiya hizo za Wananchi.

2. Kuongoza juhudi za Ushirikiano na Vyama vingine vya upinzani kwa shabaha ya kuimarisha Demokrasia ya vyama vingi nchini kwa kufanya vikao vya Mara kwa Mara na Viongozi wa Vyama vingine na kufanya shughuli za pamoja.

3. Kuendelea kusemea Haki za Kijamii kama Elimu na Afya na kuongeza juhudi za kupigania Haki ya Hifadhi ya Jamii kwa Wananchi wote hasa Wakulima kwa kushawishi kuanzisha Fao la Bei katika mfumo wa Hifadhi ya Jamii nchini na Bima ya Afya kwa kila Mtanzania.

4. Kuendelea kushawishi Sera za Uchumi zinazomkomboa mwananchi wa kawaida kwa kukosoa Sera zinazodidimiza Maendeleo ya Uchumi na kupendekeza Sera mbadala.

5. Kujikita Katika Uimarishaji wa Chama kwenye ngazi zote na kufanya Mkutano Mkuu wa Chama Mwezi Agosti Jijini Mbeya sambamba na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia 2018.

Imetolewa na

Kamati Kuu ya Chama Cha ACT Wazalendo
Januari, 2018
 
Mh. ZITO, katika mazingira ya namna hii ya kisiasa, you will achieve nothing! Nadhani vyama vya upinzania mjikite kumaliza gross human rights violations currently taking place in all fields in Tanzania. Short of that, hayo uliyoyaainisha hutaweza kuyafanya. Kama na mikutano ya ndani wanazuia, how do you move forward!
 
Anzeni kupigania kwanza uhuru wenu wa kikatiba wa kufanya siasa pamoja na kuhakikishiwa mazingira salama ya kufanya siasa tofauti na ilivyo sasa. Hilo liwe number one kabisa. Si juzi tu niliskia ulizuiliwa kuhudhuria shughuli ya kimaendeleo kwenye moja ya kata inayoongozwa na diwani wa ACT Wazalendo?

Bila hivyo itakuwa kutangwa maji kwenye kinu tu.
 
Act wazalendo Namkubali sana Ado shaibu ni kijana ambaye anafanya siasa za kifkra,, yupo makini sana,,
 
Keep It up mheshimiwa watu wamechoka na siasa za uchochezi na vurugu. Kwa wapinzani wa kweli wanaoangalia mbadala wa CCM, ACT wanaitazama kwa umakini. Na hii ni turufu yako. Ila nakuomba uangalie sana uhuru wa mawazo mbadala ndani ya chama chako. Usije kuwa kama chama ulichotoka .
 
1. Kupigania Haki za Wafanyakazi kupitia Vyama vya Wafanyakazi na haki za raia kupitia vyama vya Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara wadogo kwa kujenga ushirikiano wa kipambano na Jumuiya hizo za Wananchi.
Mh. Zitto acha utani bwana....tuhurumie sisi watumishi ambao "nasikia" ulikomba tumichango twetu kutoka kwenye mfuko flani wa hifadhi za jamii kwa manufaa yako....bila kusahau "leka tudikitee"
 
Mwelekeo wa Chama cha ACT Wazalendo Katika mwaka 2018

1. Kupigania Haki za Wafanyakazi kupitia Vyama vya Wafanyakazi na haki za raia kupitia vyama vya Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara wadogo kwa kujenga ushirikiano wa kipambano na Jumuiya hizo za Wananchi.

2. Kuongoza juhudi za Ushirikiano na Vyama vingine vya upinzani kwa shabaha ya kuimarisha Demokrasia ya vyama vingi nchini kwa kufanya vikao vya Mara kwa Mara na Viongozi wa Vyama vingine na kufanya shughuli za pamoja.

3. Kuendelea kusemea Haki za Kijamii kama Elimu na Afya na kuongeza juhudi za kupigania Haki ya Hifadhi ya Jamii kwa Wananchi wote hasa Wakulima kwa kushawishi kuanzisha Fao la Bei katika mfumo wa Hifadhi ya Jamii nchini na Bima ya Afya kwa kila Mtanzania.

4. Kuendelea kushawishi Sera za Uchumi zinazomkomboa mwananchi wa kawaida kwa kukosoa Sera zinazodidimiza Maendeleo ya Uchumi na kupendekeza Sera mbadala.

5. Kujikita Katika Uimarishaji wa Chama kwenye ngazi zote na kufanya Mkutano Mkuu wa Chama Mwezi Agosti Jijini Mbeya sambamba na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia 2018.

Imetolewa na

Kamati Kuu ya Chama Cha ACT Wazalendo
Januari, 2018
ACT Wazalendo mna mambo mazuri ila Zitto sometimes unajichanganya mno kwa kusahau majukumu ya uanasiasa na kujikita ktk uanaharakati
 
1. Kupigania Haki za Wafanyakazi kupitia Vyama vya Wafanyakazi na haki za raia kupitia vyama vya Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara wadogo kwa kujenga ushirikiano wa kipambano na Jumuiya hizo za Wananchi.
Mh. Zitto acha utani bwana....tuhurumie sisi watumishi ambao "nasikia" ulikomba tumichango twetu kutoka kwenye mfuko flani wa hifadhi za jamii kwa manufaa yako....bila kusahau "leka tudikitee"

Wanikamate kunishtaki mahakamani basi. Mbona ni jambo rahisi sana
 
Keep It up mheshimiwa watu wamechoka na siasa za uchochezi na vurugu. Kwa wapinzani wa kweli wanaoangalia mbadala wa CCM, ACT wanaitazama kwa umakini. Na hii ni turufu yako. Ila nakuomba uangalie sana uhuru wa mawazo mbadala ndani ya chama chako. Usije kuwa kama chama ulichotoka .

Chama chetu kina demokrasia pana sana
 
Anzeni kupigania kwanza uhuru wenu wa kikatiba wa kufanya siasa pamoja na kuhakikishiwa mazingira salama ya kufanya siasa tofauti na ilivyo sasa. Hilo liwe number one kabisa. Si juzi tu niliskia ulizuiliwa kuhudhuria shughuli ya kimaendeleo kwenye moja ya kata inayoongozwa na diwani wa ACT Wazalendo?

Bila hivyo itakuwa kutangwa maji kwenye kinu tu.

Tunafanya yote kwa pamoja
 
Mwelekeo wa Chama cha ACT Wazalendo Katika mwaka 2018

1. Kupigania Haki za Wafanyakazi kupitia Vyama vya Wafanyakazi na haki za raia kupitia vyama vya Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara wadogo kwa kujenga ushirikiano wa kipambano na Jumuiya hizo za Wananchi.

2. Kuongoza juhudi za Ushirikiano na Vyama vingine vya upinzani kwa shabaha ya kuimarisha Demokrasia ya vyama vingi nchini kwa kufanya vikao vya Mara kwa Mara na Viongozi wa Vyama vingine na kufanya shughuli za pamoja.

3. Kuendelea kusemea Haki za Kijamii kama Elimu na Afya na kuongeza juhudi za kupigania Haki ya Hifadhi ya Jamii kwa Wananchi wote hasa Wakulima kwa kushawishi kuanzisha Fao la Bei katika mfumo wa Hifadhi ya Jamii nchini na Bima ya Afya kwa kila Mtanzania.

4. Kuendelea kushawishi Sera za Uchumi zinazomkomboa mwananchi wa kawaida kwa kukosoa Sera zinazodidimiza Maendeleo ya Uchumi na kupendekeza Sera mbadala.

5. Kujikita Katika Uimarishaji wa Chama kwenye ngazi zote na kufanya Mkutano Mkuu wa Chama Mwezi Agosti Jijini Mbeya sambamba na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia 2018.

Imetolewa na

Kamati Kuu ya Chama Cha ACT Wazalendo
Januari, 2018

Kwa mwaka huu takwimu hamtapika?
 
Mheshimiwa maadamu upo hapa nakuuliza;
"Nini maoni yako kuhusu maandamano ya Mange Kimambi?"
"Je malengo ya chama chetu ACT Wazalendo kwa mwaka 2018 yanatambua mabadiliko yanayoweza kutokea baada ya 26/4/2018?"
 
Kazi ipo Nchi hii! Kumbe na hki chama bado kipo? vipi AZIMIO LA TABORA limefikia wapi?
 
Mwelekeo wa Chama cha ACT Wazalendo Katika mwaka 2018

1. Kupigania Haki za Wafanyakazi kupitia Vyama vya Wafanyakazi na haki za raia kupitia vyama vya Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara wadogo kwa kujenga ushirikiano wa kipambano na Jumuiya hizo za Wananchi.

2. Kuongoza juhudi za Ushirikiano na Vyama vingine vya upinzani kwa shabaha ya kuimarisha Demokrasia ya vyama vingi nchini kwa kufanya vikao vya Mara kwa Mara na Viongozi wa Vyama vingine na kufanya shughuli za pamoja.

3. Kuendelea kusemea Haki za Kijamii kama Elimu na Afya na kuongeza juhudi za kupigania Haki ya Hifadhi ya Jamii kwa Wananchi wote hasa Wakulima kwa kushawishi kuanzisha Fao la Bei katika mfumo wa Hifadhi ya Jamii nchini na Bima ya Afya kwa kila Mtanzania.

4. Kuendelea kushawishi Sera za Uchumi zinazomkomboa mwananchi wa kawaida kwa kukosoa Sera zinazodidimiza Maendeleo ya Uchumi na kupendekeza Sera mbadala.

5. Kujikita Katika Uimarishaji wa Chama kwenye ngazi zote na kufanya Mkutano Mkuu wa Chama Mwezi Agosti Jijini Mbeya sambamba na Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia 2018.

Imetolewa na

Kamati Kuu ya Chama Cha ACT Wazalendo
Januari, 2018
Mh. ZZK
Pamekuwa na tetesi za wewe kurudi CHADEMA
 
No. 4 imenivutia sana, Ni wakati wa kuja na sera mbadala ili tuzipe mjadala. Vichwa kwa sasa vimelala sana Mh. Zitto, Lini utapost kwa upana hii no. 4
 
Back
Top Bottom