Recent content by kamkoda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Hai, Ole Sabaya

    Mheshimiwa pole sana na majukumu ya kujenga nchi katika Wilaya ya Hai kwa kujipambanua kwa vitendo kuwatetea wananchi wanyonge katika wilaya yako unayoisimamia bila ubaguzi wa aina yoyote. Hivi karibuni niliona ulipotembelea kiwanda cha mtu binafsi na kumtumbua mtu mmoja ambaye amekuwa akifanya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tuache kupandikiza Ukanda, Ukabila na Udini

    Kwa hali ilivyo sasa hapa kuna harufu ya ukabila
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu ya viongozi wa CCM kukimbia Dar es salaam kwenda Dodoma

    Dar itadoda kama Tanga
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Tukumbuke asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana ambao wengi wao wapo mijini wakipambana na maisha katika sekta isiyo rasmi...hapana shaka yoyote kujitumbukiza kwao katika makundi ya kisiasa ama maandamano ni sehemu yahoo ya kupumua na kupunguza hasira zao...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, wanawake hutoa 'bao' wakifika kileleni?

    Kimsingi mwanamke hufika kileleni na hapigi bao kama muungwana alivyojinadi. Kinachotokea mwanamke hutokwa na ute mweupe ambao hubadilika kuwa kama ukoko wengi wanaitaga 'uyugu'... Hii hutokea pale mtoto wa kike anapokaa muda zaidi ya miezi minne mfululizo bila kujamiiana!
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Nyie mshaambiwa askari ukimpa Tzs.5,000/= hiyo ni ya kiwi....tutegemee nini!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii wage board ipo kweli?

    Takriban ni miaka mitatu sasa hawa jamaa hawajatangaza vima vya chini kisekta kwa makampuni binafsi. Swali rahisi tu wanawaza nini?...hapa napo kuna jipu!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yarudisha kifaru kutoka Jamhuri ya Czech

    Nshangaa kwa nini hata wale waarabu waliofutiwa leseni na Bunge letu tukufu wakiendelea kubebwa huku kila kitu kilikuwa wazi kuhusu uwindaji usiozingatia weledi. Leo mapori ya kizigo na mengineyo yanakimbiwa na wawekezaji mara baada ya kukosa wanyama muhimu, wawekezaji korofi wanataka kwenda...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Kuna marekebisho ya sharia hii mwaka 2010 kiinua mgongo atalipwa mtu ambaye amepunguzwa kazi tu!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Salute to My President!! Lakini Tujifunze na Tubadilike Now!!

    Wale wote waliotupotosha katika hili wasijaribu Urais 2015.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    Wengi wao wamekatwa sterio mpaka uwajulie kama mie...hawanipi taabu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tumeripoti polisi na Mhe. Sugu

    Hovyooooo mmejitakia!!!!!hatuhitaji kujua kitakachojiri mwache alale sero atajua nini maana ya kuwa raia mwema...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Kama wilaya tu imemshinda ataweza nchi nzima?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Mimi naishi hai lete uongo wako hapa..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Hakuna lolote nenda hai day pale uambiwe wanafunzi wangapi wanasoma tarakilishi..
Back
Top Bottom