willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,066
- 1,293
Jamani naomba msaada wa kisayansi nijue ukweli. Niko chuo na marafiki zangu tukisimuliana about sex utasikia jamaa anasema nimemla manzi mpaka kapiga bao likatoka kabisa nje zito tena jeupe mpaka kalishika kabisa.
Je ni kweli mwanamke anapiga bao (female orgasm) na linatoka njee? Kwa sababu ninavyojua mimi mwanamke anafanya internal orgasm wala kitu hakitoki njee.
Naomba kujuzwa.
Je ni kweli mwanamke anapiga bao (female orgasm) na linatoka njee? Kwa sababu ninavyojua mimi mwanamke anafanya internal orgasm wala kitu hakitoki njee.
Naomba kujuzwa.