Recent content by Kamcheche

  1. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sahihi kabisa
  2. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Hata kama alikuwepo timu siyo mchezaji mmoja,as roma alikufa goli sita bila kwa Liverpool golini akiwa Allison, lakini Liverpool wakamsajili Allison
  3. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

    Mbona Liverpool waliwahi kuwafunga as roma goli sita na wakamsajili golikipa wao Allison
  4. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Naamini tutakaa sawa mbele ya safari
  5. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Casadei nae hamtaki?
  6. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

    Na kweli kule alikuwa na uhuru wa kutosha,alikuwa anaongea na simu kuulizia maendeleo ya biashara zake huku kitaani
  7. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Paulo ferreira
  8. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Mbona umezirudia mkuu?
  9. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

    Usikute zile jamba jamba alizokuwa anapewa Bashe na Makonda zinahusiana na ushahidi huu wa mpina,wakaamua kumzima Makonda kwa kumshusha cheo
  10. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na msimu huo huyo City alifungwa fa,epl na uefa,bahati ya namna gani hiyo
  11. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Tukio mnalotukanana ni kama hili,kipa akitoka mchezaji wa time iliyofungwa ndiyo anahesabika kama kipa
  12. Kamcheche

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Alikosa penati kwenye nusu fainali ya uefa kati ya Chelsea vs Barcelona 2013
Back
Top Bottom