Andiko limesheheni madini mazuri sana kila mhusika ameshauriwa vzr sana na marejeo ya matukio yametolewa, kumeshuhudiwa matukio ya ajabu na matamshi ya hovyo ktk miaka ya hivi karibuni kutoka kwa watalawa, na wenye mamlaka hakika si mazuri kwa ustawi wa utanzania wetu. Vyombo vya ulinzi na...
Mm namiliki mdogo wake Tuareg kwa maana ya Tiguan ya mwaka 2012, ushauri wangu kwako gari za Europe hazihitaji mikono mingi yaani usimpe mtu gari kiholela aiseee kuna wapuuzi wakiona chuma ni ya kufunguka wanatafuta sifa road aiseee, gari tumia wewe mwenyewe
Haya mambo ni ktk nchi za Africa maana tumeendelea kuona watu maarufu na wenye pesa kesi zao zimeibuliwa na wamefikishwa mahakamani na Sheria inachukua mkondo wake
Naomba kushiriki ktk mjadala huu
Haya mambo yapo, ktk ukanda huu waa mipaka inayopatikana mkoani kagera haya mambo yapo Sana hasa kwa wanawake wanaotoka ktk kabila la wanyarwanda waliokimbia vita.
Wanyarwanda wengi waliojikuta maeneo ya karagwe na Uganda hasa ile jamii ya wa tutsi wamejikuta...
Wakuu mwenye konekisheni na mtoto mkali hapa chuga anifanyie wepesi maana nimeingia Jana kuhudhuria mkutano wa taasisi ya wahandisi hapa jijini lkn sijui nianzie wapi,,nipo hadi jpili na muda huu Niko hapa picnic ila nahitaji toto zuri ambalo halina mambo mengi kuhusu maokoto asihofu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.