Recent content by Kambaku

  1. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Je, aamue Kuendelea na kazi ama aende Chuo?

    Hivi ukisema ni wewe ndio unaomba ushauri utakufa??? We jiulize swali moja alafu chukua hatua, kwenye hiyo kazi unayofanya, kazi hiyo hiyo unayofanya kunaa watu wana Degree wameiomba alafu wanafanya au hakuna
  2. Kambaku

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ulanguzi wa tiketi za mabasi ya mkoani unaofanywa na mawakala

    Mkuu hivi umesoma kweli alichoandika mtoa uzi?
  3. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Balile: Oktoba 29 Waandishi tuliwatafuta watu wa kuwahoji, Barabara zilikuwa Nyeupe, Wao walikuwa wapi?

    Nikionaga mtu mzima wa 50 years plus alafu mjinga huwa nasikia kinyaaa
  4. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Umetumia kilevi chochote? Au umevuta kitu chochote ambacho serekali inakataza we afande polisi?
  5. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kulifahamu lililokuwa baraza la mawaziri la mapinduzi hudhuria kesi mahakamani

    Hivi kipi ambacho kingefaa kwa baba yako, kupiga nyeto au kuvaa ndom?
  6. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusheni Ya Kuwa Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile. Huyu ni Zaidi ya Alexander The Great. Msimjaribu Mtaumia Vibaya

    Aaaaah we huamini tena wewe. Ulitufanganya kuhusu Nchimbi hatoki ukampamba weeeee saa hizi kimyaaaaaa!!!
  7. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Sasa Paulo umeshindwa kabisa kujua wote mnaongozwa na utoto mdogo wangu. We mwenyewe siku ukikutana na kisu ingine size yako utagundua mlikuwa mnadanganyana tu. Na yeye akienda chuo akakutana na wakubwa wanaojitambua kidogo wenye sumni kukuzidi ataajiona alikuwa mjinga kweli naa hizo msg zenu...
  8. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Makonda kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 24, 2026. Nini unatarajia kusikia?

    Mambo yanayomnogea kiongozi haya! Sandalendi
  9. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Anaelekea kupata Mafao nimemshauri awekeze kwenye Bonds kakataa, anataka kufungua Baa

    Wewe fanya kazi na wewe uje ustaafu hela zako uweke UTT. Achana na hela za watu hadi unawaanzishia uzi. Acha kujipa umuhimu kwenye hela za watu
  10. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Yanga ina watu serikalini lakini inatoa boko

    Point yako ni nini
  11. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: “Siwezi kutoa msaada kwa Mtanzania yeyote, labda watoto yatima tu”

    Nani kamwambia kila siku atakuwa yeye tu wa kusaidia watu? Haoni uwezekano na yeye siku moja akataka msaada wa Mtanzania mmoja? Au mwenzetu yeye ameshahakikishiwa hadi siku anaenda kaburini ni one way tu kwa maana watanzania wanamuomba msaada na yeye hana shida yoyote?
  12. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Kwahiyo unakubali kwamba serekali na ccm yake wamemfunga Lissu mwaka mzima kwa kumuonea tu?
  13. Kambaku

    JamiiForums Tanzania Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

    Inakuwaje washabiki wa Simba ndio mnaongoza kuona ubovu wa kocha wa Yanga? Kwani we uki dear na Doumbia na mambo ya Yanga ukawaachia wenyewe utakufa?
Back
Top Bottom