Recent content by kamazima wa tabata

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tusiweke imani kwa wasemacho watoto wa nyakati hizi

    Mimi ningekuwa huyo babu baada ya kadhia hiyo natoa talaka aliyokuwa anaidai ili kila mtu ashike 50 zake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu wa kiume anadharau mji wetu

    Nenda kaishi mbali pia kata misaada yote uliyokuwa unatoa, au toa misaada kwa masharti magumu ndo watanyooka vinginevyo watakuumiza sana kichwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi mzazi akifariki na ndugu zake hutoweka

    Ndugu muda mwingine ni lawama kabisa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hili liwe funzo kwetu wanaume

    :D:D:D:D
  5. K

    JamiiForums Tanzania Namna Nilivyo-okoa Visenti Vyangu vya Mawazo

    Hahahaha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

    Duuuuh kumbe mchafu alishafariki mkuu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Naomba nijazie nyama kidogo hapa, ongeza na taasisi ya Posta pale nafikiri kigezo cha kwanza kuajiliwa ni kuwa na umri mkubwa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watu msiogope mikopo ya benki tatizo mnatumia mkopo kinyume na matarajio

    Nimekupata vizuri sana mkuu na ushauri wako nitauzingatia kwa asilimia kubwa tu, shukrani..
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    shukrani sana mkuu, nimeshakaribia
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nimeona si vibaya nikipita na huku kidogo kuwasabahi wana jukwaa, amani iwe nanyi na busara itawale.. Umetisha sana mkuu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Hii michanganuo kwa kuisoma hivi tu inaonekana ni simple ila ukienda field sasa. Inafurahisha kuisoma na kuchangia tu lakini ukithubutu ukaingia kwenye utekelezaji utajutia..
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata vifaa vya kilimo na umwagiliaji

    Nakushauri pia usiingie mzima mzima kwenye kilimo, maana unaweza kuja kugombana na kila mtu atakayekuwa anazungumzia kuhusu faida za kilimo mbele yako.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga

    Kwa hapa nchini mkulima bado ana safari ndefu sana kabla hajafika nchi ya ahadi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Juu ya ufugaji wa Kuku

    Kwa ushauri wangu nisingekushauri uwazoeshe kuwapa damu kama mdau mmoja alivyochangia hapo juu kwasababu siku ukija kuikosa kuku watakusumbua sana.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Juu ya ufugaji wa Kuku

    Kwanza kabisa unatakiwa kuhakikisha kuku wako wana eneo la kutosha ( nafasi katika banda lao) ili wasibanane, kama hilo limezingatiwa ndo uanze kufuata ushauri mwingine uliopewa na wadau wengine hapo juu ikiwemo kuwapa mboga za majani, chokaa, vitamini na chumvi
Back
Top Bottom