Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

Jamani hebu nipeni triki za msingi za draft, mimi huwa nachemka.
amna triki pale, ni practice ya kila siku ili usisahau 'pattern'

ina addiction mbaya. hasa kwa madogo , kitaa kuna vitoto vya miaka 6 vinasukuma 'kokwa' ile mbaya.

mda wa shule wao wanapiga kete!
 
napenda pale wanaposema "koma kucheza na mimi"

ukishamla mtu kete tatu umevuruga mipango yake mpaka ajipange upya wewe unapaa tu angani na King
 
amna triki pale, ni practice ya kila siku ili usisahau 'pattern'

ina addiction mbaya. hasa kwa madogo , kitaa kuna vitoto vya miaka 6 vinasukuma 'kokwa' ile mbaya.

mda wa shule wao wanapiga kete!
Tena inaddiction knoma nilikuaga Kemp moja ivi sasa nilikua najamaa yng mmoja iv asee upinzan minayy nizaid yasimba nayanga bas tukawa tunaona lile lakusubir foleni tunapoteza muda tukachora letu asee ligi iliyokua inaendelea apo nihatar gem linapigwa adi sa6 ucku
 
Jamaa akishakufunga mara kibao anakwambia ingekuwa kila anaefungwa anachanjwa, wewe sasa hivi ungekuwa kama mmakonde🙆🏽‍♂️!
 
We jamaa kama mlevi, akivuka daraja yupo kimya na makini akishavuka ndo anaanza nyimbo na matusi eeehhh mamaaa frankkkk utanitambuaaa
Hapa unamwambia mpinzani aliyekaa kimya alivobanwa na kuanza kuongea mda huo
Hili umeingia pango la ngiri, na yeye anakurupuka mnakutana uso kwa uso apo ndo utajua lile pale mbele ni jino au pembe
Hapo mpinzani ameingia sehemu sio

Unamwambia mpinzani Huyu jamaa ukimuona na mikwara yake kama ya nanasi..ohooo nina miiba nina miiba kumbe ndani mtaaamu kama nini

Itaendelea....
 
Hahaa
 
Ukicheza vibaya Napita mapajani naingia Kingi
Hapo unapita.katikati ya kete zake mbili
 
"Nendeni mkakodi greda"
Hapa unawatambia walioko nje kuwa hakuna wa kukutoa na njia pekee ni kwenda kukodi greda lije likuvute!
Hahahaaaaaaa!
 
Kwani michezo mingine haipo? Si bora hata ukacheze ngoma kuliko kuwadharirisha wachezaji.
 
"Vaa uende". Hapa mtu kapigwa anafananishiwa scenario ya kahaba gesti.

"unafanya ukahaba/ umewahi fanyia gesti" hapa mtu anagwa kete kujiokoa.

"katika katika kwanza" hapa mtu anaomba sare lakini unamwambia achezecheze.

"sawa na kulia mahakamani" hapa umebanwa halafu unacheza kete ambazo hazikusaidii. Wanasema eti hakimu anasuburi unyamaze kisha anaendelea kukuuliza"uliiba hukuiba?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom