Shemeji yangu wa kiume anadharau mji wetu

Shemeji yangu wa kiume anadharau mji wetu

Tatizo nyie wasukuma mnapenda kuandamana sana mtu kuhamia ukweni sio shida, hivyo wewe kama umechukiwa na ndugu waache wajitawale tafuta maisha yako acha wakae na shemeji yao, kama una kauridhi kama shamba uwe makini asije uza huyo shemeji yako, kwanza huenda anajichanga siku zikiitika anamkimbia dada yako, pole sana wewe tafuta maisha yako unaumiza kichwa chako bure usiwape chochote , tatizo mama naye kumnyima huruma
 
Na wewe hapa umeandika nini sasa vizwuri ni lugha gani unamkosoa mwenzako aandike vizuri lakn na ww ni --
 
Eti mm ndiye wa kwanza kwetu kupata elimu ya juu/degree
Kama ni kweli unadegree wasomi wa sasa ni zero
 
Mkuu unauanaume na unajielewa sana naimani utafanikiwa maishani mwako.... Ulichofanya hukukosea ni for the sake of your sisters life..... Pia wazazi wakike wanakuaga upande wa mabinti zao hata kama binti anafanyiwa ujinga
 
Za mashiku ngosha, hiiiiii DIMAGA kwanza analeta ufwala huyo ni kumtoa busha tu akalitunze kwao vimganga vingi sana mmalize babaaa.
 
Wanaume wa mkoani mnapambana na ujinga wenu hukohuko ndio maana mkija dar mnaona kulala sebuleni ni sawa tu
 
Nenda kaishi mbali pia kata misaada yote uliyokuwa unatoa, au toa misaada kwa masharti magumu ndo watanyooka vinginevyo watakuumiza sana kichwa.
 
yaani issue ya kinyegezi nyegezi inakufanya ukose mbele na nyuma..

waiii..kwani huyo Shemeji akila chakula hapo kwenu unapungukiwa na nini?

Je..ulijaribu kujua ni kipi kimempata Shemeji hadi akahamia kwenu ukweni...ile kabla ya kumwita kwa SMS.?

*MAJI yakisha mwagika hayazoleki tena,labda kudeki tu..

Actually huna tena LA kufanya,subiri huyo mtoto (Uncle) akue aambiwe jinsi ulivyomnyanyasa na kumfukuza baba na mama yake kweupee pee...Kisa una kadigirii.!!
Yaan shemeji alishwe ukweni, wakati huo Dada pia anahudumiwa nyumbani, dharau gan izo????
 
hujui tu, shemeji yako huwa anakaza vizuri Dada yako ndo maana anapelekewa misosi na gegedo
 
Jiweke mbali nao, muachie mama amtunze huyo mkwe wake na binti yake pia.
Ila usiache kumsaidia mama, mama ni mama tu mkuu usijenge bifu naye kwasababu ya hao wajinga ila toa misaada kwa akili.

Wote hao Kinachowasumbua ni IQ ndogo waliyonayo.
 
Pole sana Shemeji amekuwa Kunguni ukiwa kama Kaka unatakiwa upambane na hiyo hali.
 
Jiweke mbali nao, muachie mama amtunze huyo mkwe wake na binti yake pia.
Ila usiache kumsaidia mama, mama ni mama tu mkuu usijenge bifu naye kwasababu ya hao wajinga ila toa misaada kwa akili.

Wote hao Kinachowasumbua ni IQ ndogo waliyonayo.
Lakini wasukuma ni tabia zao mdada kaolewa na msukuma maisha yakiyumba wanaongozana kwao na mwanamke kama mama mstaafu basi shida tupu kaka zake wanamtunza mama yao wanalalamika lakini yeye yupo tu kujipitisha tu kama mbuzi wa shuhuri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii tabia imeshamiri sana usukumani,nawashangaa sana wasukuma,kwetu ujaluoni tutakupiga marungu za kutosha
 
Shemeji yenu kawaroga ndo maana wanamthamini mtu ambaye Hana msaada na kukuchukia ww uliyekuwa unajinyima kuwatumia hela nyumbani, kumbe alikuwa anaitwa shemeji yako kwenda kutoa M-pesa
 
Back
Top Bottom