Recent content by kamandawasua

  1. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba master (100k) Mbezi Beach au Goba

    Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa na Master. Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja. Wapangaji wasiwe wengi (8+). Kuwe na uzio/fensi...
  2. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Hali tete Lecturer hataki kutoa mark up

    2013 nilikuwa na carry ya Engineering Mathematics. Nilipoenda kufanya hiyo carry nikakuta IMEKAZA BALAA. Nikakusanya nikafanya maswali mawili(2) nikakusanya hata dakika 30 hazikuisha. Nikatoka hapo nikanyooka kwa lecturer nikamwambia haya ni maisha yangu mzee muajiri anasubiri cheti nipeleke...
  3. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Utakuwa una matatizo ya akili. Kabla haujatuma utumbo kama huo, hua unausoma kwanza au unauachia tu kama ushuzi wa shoga. 😁😁😁
  4. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Chrome VPN Hola VPN extension
  5. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Tanzania siyo kisiwa, we ndezi. Hakuna amani mahala watu wana nyege muda wote.
  6. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Sifa zipi natakiwa kuwa nazo ili niweze kufanya kazi ya kuprogram

    Mtafute Yesu. Yupo makumbusho ni mtaalamu wa haya mambo.
  7. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Programming Language soma ujifunze kitu

    Naendeleza huu uzi. Web development Kama unataka kuwa web developer au ni web developer vifuatavyo ni vitu vya msingi kuvijua HTML, CSS hizi ni lugha za uwasilishaji(presentation) ni lazima kuzijua haijalishi utatumia lugha gani kufanyia processing/handle requests na kuproduce appropriate...
  8. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Black bars juu na chini ya screen

    Badili aspect ratio to 16:9
  9. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Maoni: Leo naanza kujifunza python

    Umeshafanya web development? Kama ndio angalia project moja inaitwa Django. Iko vizuri. Ila unahitajika kujua MVC pattern vizuri ili uende sawa nayo.
  10. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Maoni: Leo naanza kujifunza python

    Rudia kufanya project yako moja kwa python. Ukimaliza utakuwa na maoni yako binafsi.
  11. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Maoni: Leo naanza kujifunza python

    Ushafanyia nini c++ na Java?
  12. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Edward Sokoine na Sheria ya Nguvu Kazi

    Nikienda hapo naanzaje. Naendwa kwa nani anayehusika na haya masuala?
  13. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Edward Sokoine na Sheria ya Nguvu Kazi

    Habari zenu, Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni. Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
  14. kamandawasua

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya majiko ya Gesi kama burner, cocks, pressure regulators n.k

    Habari watu, Kama kichwa kinavyojieleza, kwa walioko mikoani na Dar pia ninatoa huduma ya kuuza vifaa vya majiko ya gesi ya nje na yaliyotengenezwa hapa hapa. Vifaa ni kama vifuatavyo:- Burners Pipes Cocks Low Pressure regulator High Pressure regulator na vinginevyo vingi Karibu Gerezani...
Back
Top Bottom