Black bars juu na chini ya screen

Black bars juu na chini ya screen

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
759
Reaction score
1,873
Kwa nini hiki kitu kinakuwepo kwenye movie na hata baadhi ya nyimbo je uwezekano wa kuzifanya zisionekane upo
20201121205233.jpg
 
Hio ni aspect ratio original ya Video. Kunakuwa na option ya Stretch to screen kagua remote inaondoa hizo bar lakini watu wanaweza tokea wa ajabu ajabu.
 
Kwa nini hiki kitu kinakuwepo kwenye movie na hata baadhi ya nyimbo je uwezekano wa kuzifanya zisionekane upoView attachment 1631698

Ukiona hivyo inamaana kwamba video iliandaliwa kucheza kwenye screen pana zaidi ya hiyo yako. Na endapo utaicheza kwenye screen yenye aspect ratio ya ndogo zaidi (mfano 4:3) basi hizo bar nyeusi zitaongezeka ukubwa zaidi.
 
Wengine wanaweka hizo bars kwa makusudi , Zinakuwa kama sehemu ya muonekano wa picha/Filamu. Hivyo unaweza ukajaribu kuziondoa kwa kubadili aspect ratio na zisiondoke! Zikabaki pale pale.
 
Back
Top Bottom