Recent content by kamanda wa makamanda

  1. kamanda wa makamanda

    FALSE It's only happening in Jinja City Uganda

    Si kweli, picha zakutengeneza, jinja hali ya hewa jana na leo inasoma 25°
  2. kamanda wa makamanda

    Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

    Ukikaa na watu wanaomjua chid, wanakuambia chid ana laana ndani yake,
  3. kamanda wa makamanda

    Naomba kujua kwa wenye leseni za udereva

    Unapaswa uww na E kwanza, ndio daraja C upate
  4. kamanda wa makamanda

    Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Pole sana kaka, hata mimi nipo kwenye situatuion kama yako na nimeachwa kwa maneno mengj sana, ila nna amini malipo ni hapahapa duniani na MUNGU anawapenda watu wake
  5. kamanda wa makamanda

    Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa Zanzibar

    Hizo zinauzwa ofisni kwao john deere, au kwa mawakala wakubwa
  6. kamanda wa makamanda

    Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

    Mtafuteni wenyewe, mkimpata kamshtakini
  7. kamanda wa makamanda

    Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

    Ukiwa hauna hela bana, ni tatizoo...kumpa mwanamke hela bila kujali .inaleta furaha na afya
  8. kamanda wa makamanda

    Ni kitu gani kilikufanya utambue uliyenae kwenye mahusiano sio mtu sahihi kwako?

    Mimi, nimeshadharaulika. Nimeshachambwa, nimeshadhalilika, nimeshahudumia sana, amenifanyia mabay yote, lakini sikumuacha, niligundua makuzi aliyokulia yalimfanya asiamini kuna upendo wa kweli, nikapambana akae sawa na kweli, alikaa sawa, nipo nae hadi muda huu...na hakika.mimi ni shujaa nina...
  9. kamanda wa makamanda

    Kimei alaani mauaji ya kijana Octavian, ataka haki itendeke na kuwatuliza wananchi

    Kinapa ni tatizo sana, kipindi cha mrema walishamfanyia mjamzito ukatili akiwa hifadhini
Back
Top Bottom