Recent content by Kamanda Kazi

  1. Kamanda Kazi

    Shall we fight for freedom in Tanzania

    Which kind of freedom are you talking about?
  2. Kamanda Kazi

    Wadada mnaotulalia vifuani kwenye mabasi ya mikoani acheni sio vizuri hivyo, huwa mnatusisimua sana

    Mmmmh ...... akiachia pumzi ya nyuma usimpushi aamke! Vumilia tuuu
  3. Kamanda Kazi

    Msaada: Kutotolesha Mayai ya Kuchi Nifanyeje?

    Nimejaribu kuwawekea kuku wa aina nyingine mayai ya kuku kuchi lakini hayatotolewi. Nikanunua kitotoleshi (Incubator) napo mayai hayakukutotoleshwa. Msaada wa elimu... nifanyeje?
  4. Kamanda Kazi

    DAR: Wawili walazwa Muhimbili kwa kujeruhiwa na risasi baada ya kukaidi amri ya Polisi

    Usiseme hivyo ndugu! Kusimamishwa na askari halafu ukakaidi huwa inampa askari tafsiri kuwa wewe ni mhalifu! Na sio TZ tu ni nchi yeyote inakuwa hivyo.
  5. Kamanda Kazi

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    TISS ni Watanzania wenye Uzalendo na Taifa lao! Ni wewe na mimi bila kujali kama tumeajiriwa katika TISS kwa sababu bila wewe na mimi TISS haiwezi kufikia malengo ya kuanzishwa na kuwepo kwake! Yaani TISS inatutegemea sisi katika kufanya kazi. It need to be fed with Intelligence from us....
  6. Kamanda Kazi

    Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

    Kama hakufanya ujanani kwa nini asifanye sasa? Ila aibu wajameni
  7. Kamanda Kazi

    Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

    Kazi Ndo Imeanza: Magufuli JEMBE!!!
  8. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    mambo mengine hayana kiswahili ndugu. Mfano strawberry kiswahili utaita stroberi. Sasa hicho sio kiswahili bali kuchapia kiingereza. Nakushauri u-google utaona kwa picha.
  9. Kamanda Kazi

    Ongeza damu: Tengeneza na kunywa juisi hii

    Kiasi cha maji sio muhimu sana. Muhimu ni content iliyomo kwenye hivyo utakavyo-blend. Maana nutrients ni zilezile (fixed) no matter kiasi cha maji
  10. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Jamani eeeh...Kama una hangover usi-comment hadi ikuishe please. Soma hii makitu upate knowledge! Preta@ hebu kuja hapa please.... Njia bora ya kuondokana na uchovu (hangover) ni kunywa kiasi au kuacha kabisa unywaji pombe. Kamwe dawa ya hangover sio kuzimua kwa pombe asubuhi ya siku nyingine...
  11. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Heee...Preta! What is wrong my dear? Wataka picha?
  12. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Vyakula vya asili kwa maana kwamba ambavyo havijaondolewa hali yake ya uasilia au kukobolewa. Pia sio GMOs! Nadhani umenielewa
  13. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Matunda ya strawberries wewe google utaona yanafananaje! Yanapatikana kwenye masoko au supermarket!
  14. Kamanda Kazi

    Tumia Viagra Hii Ya Asili

    Kujiamini kwa mwanaume lijali ni pale anapomtosheleza mwenzi au mpenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Na furaha ya mwanamke ni pale anapofikishwa kwenye utoshelevu anaoutarajia kutoka kwa mwanaume au mwenzi wake wakati wa kufanya mapenzi. Kutokana na uhitaji na shauku ya kutaka kuwafikisha...
Back
Top Bottom