Kupambana na askofu kakobe au kiongozi yeyote yule wa dini inamaanisha unataka kupambana na wananchi maanba wako wengi wanaoamini katika wao. Hivyo inapofika wakati unatakiwa tu uchomwe sindano ili upone jabo inauma inapoingia mwilini
Dini zililetwa afrika ili kurahisisha utawala wa wakoloni, walipofurushwa waliobaki wameendelea kuzitumia kwa maslahi yao, maana ukipata nafasi ya kutembea kidogo ukafika kwa hao waliotuletea dini za kikristo mfano ujerumani, uingereza na huko itali, hii imebaki kuwa ni shughuli ya wazeee...
Na wewe unamuumbia maneno, tafsiri ya kuwa yeyey anafedha nyingi kuliko za serikali na hivyo mawaziri wakitaka waende wakakope kwake inamaanisha nini? Tafrisi ni kuwa fedha yake ni nyingi kuliko za serikali na hivyo anaweza kugharamia bajeti za wizara, mawaziri ruksa kwenda kukopa kwake. Kwa...
Hizo ni fikra potofu na ujinga uliopitiliza. Basi hamieni uingereza kabisa tujue maana hao ndo wenye kiingereza. Uzuri Tanzania tulikataa ukoloni kulazimishwa kuzungumza lugha za watu wengine wakati mna lugha yenu. Hakuna Taifa duniani limeendelea kwa kutumia lugha ya Taifa jingine. kuanzia...
Kwa hiyo ukiwa mwizi CCM ukihama chama na kwenda CHADEMA unakuwa mtakatifu? mi nadhani bundi yeyote anapotua kwenye kundi la ndege ambao sio bundi wale wengine lazima wakimbie, isipokuwa kama kundi lile litakuwa la bundi wenzake
Tundu Lisu alikuwa mstari wa mbele kulalamika toka wakati yupo LEAT na siku za mwanzo alipoingia Bungeni kuwa hii mikataba ni ya kifisadi na inatakiwa ipitiwe upya. Hata hivyo ile nguvu aliyokuwa nayo baadae ikafifia kabisa kama sio kufa kabisa kutoka kinywani mwake. Hizi sheria hazijawahi...
Ni dhahiri kuwa viongozi wengi chini ya CCM wamefanya makosa ya kuifikisha nchi hapa ilipo, na kwakweli wanastahili kuadhibiwa kwa kuifanya nchi maskini wa kutupwa. Hata hivyo ni kosa kubwa pia pale mmoja anapoamua kurekebisha makosa ya nyuma wengine wanakuja na hoja za vitisho vya kushtakiwa...
Kauli, maneno na matendo ya Tundu lisu zinadhibitisha dhahiri pasipo shaka kuwa ni wakala wa hayo makampuni ni suala la muda tu itajulikana. Wanaomtetea wapo kichama na mahaba zaidi.
Binafsi nimefuatilia sn matamko yake, ni dhahiri shahiri kuwa kuna kitu nyuma yake sio bure. Yeye sio wa kusimama na kumtisha Rais na watanzania kisa tu mwanasheria, dharau, kiburi alichokionesha hata kwenye kamati ni jibu tosha la kujua kuwa anatumika hakuna ubishi hapo. Huwezi kuja juu kiasi...
Well said, ila nadhani kuwahukumu wana CCM wote itakuwa dhambi maana haya yalifanywa na viongozi wana CCM na wanafahamika nadhani kwa wale ambao bado kwenye nafasi ya uongozi wanatakiwa kufanya toba na hakika wasimame kushabikia hili sasahivi sababu linafanywa kwa Utashi wa uongozi wa Rais wetu...
Sababu iko wazi kwenye akili tumeshaona, huyo ndg ni wakala wa hao mashenzi tu. Lazima tutambue kuwa hawa jamaa wanajua kucheza na akili za watu, na wanalenga zaidi influentials, ni wazi kwamba Lisu ni influential na watu wanaoweza kutumiwa kupitisha hoja zao. Huyo ni wa kupuuzwa tu. Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.