Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 24,515
- 34,584
Nimejiuliza mpaka nakosa majibu sahihi.
Hili sakata la Mchanga wa madini ambao haujataifishwa na serikali lakini tayari mheshimiwa (shame) Lisu amesha-pre empt kuwa umetaifishwa kupitia upuuzi anauongea kila anapofungua mdomo iwe bungeni au nje ya bunge.
Najiuliza, mbona yeye ndiye kaumizwa zaidi kuliko hata mwizi mwenyewe?
Lakini najiuliza haya kwa sababu zifuatazo.
Sasa tunaambiwa mikataba ya wizxi iheshimiwe. na kama the other part ya mkataba ametenda mambo yanayokiuka msingi wa mkataba ni haki yake na achwe asiguswe.
Jamani hii GOLDEN FLEET hii ipoje?

- Alisimama kidete kutaka hatua kama alizochukua Magufuli zichukuliwe tangu mwanzoni kabla hata hajawa mbunge (au ndiyo ametumia ule msemo wa If you can't fight them, join them?
- Hatua za uundwaji wa tume ya prof. Mruma aliipinga na kutoa sababu lukuki za kudhoofisha tume isifanye kazi yake
- Matokeo ya tafiti ya Tume ambayo ni ya wataalam wa madini tofauti na lisu ambaye ana utaalam wa kisheria tu na hajui lolote kuhusu chemicals na atoms. Anayaita matokeo hayo ni RUBBISH yaani takataka. Anasema rais anapewa takataka.
- Jana Bungeni anasema maamuzi ya rais ni ya kijinga na hayapaswi kuungwa mkono na anaowataka wasiyaunge mkono (wabunge) anawaambia ni illiterate hawajui lolote.
- Anasimama kulielezea taifa kupitia Bunge kuwa tunapaswa kuweka hands down tusikubali kupambana na wezi wa rasilimali zetu kwa sababu tutatengwa...
Sasa tunaambiwa mikataba ya wizxi iheshimiwe. na kama the other part ya mkataba ametenda mambo yanayokiuka msingi wa mkataba ni haki yake na achwe asiguswe.
Jamani hii GOLDEN FLEET hii ipoje?
.....Sasa nimejua kwanini rais hakuwahi kushiriki kura za ndio kwenye mambo muhimu Kama haya.... Rejea ansad zote za bunge kuhusu rasilimali za taifa Wakati akiwa mbunge na waziri, utaona...
Nilivyoelewa:
Tundu Lissu anasema it is too late kwa sasa.... Tungekuwa wajanja tungekubaliana kwenye mikataba... Huu mchanga, usituharibie uhusiano wetu sasa hivi.... Bado nchi hii inategemea sana mikono Yao hao mabwanyenye.