Recent content by kamanda Hannibal

  1. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    Siasa zetu mkuu hizi ni za kuziangalia tu.
  2. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    Siasa hizi hadi US zipo, kasome AUDACITY OF HOPE cha Obama. Siasa ni siasa tu, ndio maana unaambiwa ukiwa mwanasiasa usiruhusu kupigwa picha ukiwa 'bafuni'
  3. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Chief nadhani inabidi ufiirie kuwa na movie production company. Maana nikisema uwe unaandika script za filamu nitakuwa nimekushusha sana.
  4. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Ya viongozi wa mashirika kuwakuta majaji?

    Jana Mkuu ameshangazw na kitendo cha baadhi ya majaji kwenda likizo katika nchi za kifahari kupumzisha akili. Si hilo tu, bali kilichomshangaza ni kutumia gharama zao. Siamini kama Mopao hajui kuwa majaji wana maslahi manono sana. Sheria ya Malipo na Stahiki za Majaji imewfanya wawe mithili ya...
  5. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania TTCL to TCC: Kauli ya Mopao "Tanzania iwe Ethiopia" yaelekea kutimia

    Mkuu mwizi haibi hadi aone sehemu ya kuiba na mazingira umemtengenezea ya kuiba. Sekta binfsi ni wafanyabiashara(analenga kupunguza cost na kuongeza faida), sasa kama tuna mifumo dhaifu ya kisheria na kiutendaji, unategemea kweli tusiibiwe?
  6. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania TTCL to TCC: Kauli ya Mopao "Tanzania iwe Ethiopia" yaelekea kutimia

    Mkuu makampuni binafsi kuchezea vitabu vya uhasibu suluhu yake ndio 'kuyaua'?
  7. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania TTCL to TCC: Kauli ya Mopao "Tanzania iwe Ethiopia" yaelekea kutimia

    Tunaipenda sote ndio maana tunaambiana Nyeupe na Nyeusi.
  8. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania TTCL to TCC: Kauli ya Mopao "Tanzania iwe Ethiopia" yaelekea kutimia

    Swali la msingi, tunaouwezo wa kudeliver? Chukua case study ya hii ttcl ya sasa. Mwaka juzi/jana walianza kuifufua upya lakini nashindwa kuelewa kama wako serious kiasi gani. 1 . coverage yao mbovu. Uko mwanza mjini lakini ukitoka km 10 nje(nyegezi) hakuna service. 2 inafanya kazi kwenye sim za...
  9. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania TTCL to TCC: Kauli ya Mopao "Tanzania iwe Ethiopia" yaelekea kutimia

    Moja ya njia ya kuwatambua viongozi na muelekeo wao ni kupitia kauli zao. Si mara ya kwanza kumsikia 'mopao' akizungumzia makosa ya ubinafsishaji holela hasa sekta ya mawasiliano. Akitolea mfano wa Ethiopia kuwa na kampuni moja ya umma tu ya mawasiliano. Kisha akazilazimisha kampuni za...
  10. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    A big chunk of those "likes," "retweets," and "followers" lighting up your Twitter account may not be coming from human hands. According to new research from the University of Southern California and Indiana University, up to 15 percent of Twitter accounts are in fact bots rather than...
  11. kamanda Hannibal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

    Abs Absolutely, and if Kenyatta believes that Odinga is breaking the laws(of which i believe he is), basi amburuze mahakamani. Hii kufungia vyombo ni muendelezo wa utamaduni wake wa kutokuheshimu katiba (rejea kauli zake za hovyo kuhusu majaji na tishio la kuibana zaidi mahakama). Asijikute...
  12. kamanda Hannibal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

    Kinachotutesa sisi Afrika sio katiba (CONSTITUTIONS) bali ni ile dhana ya kuheshimu na kukubali kuishi kwa kufuata matakwa ya kisheria na kikatiba (CONSTITUTIONALISM). Ni kweli ili kitu kiheshimiwe ni lazima kiwepo, lakini kama kipo na hakiheshimiwi hakuna maana ya kuwepo. Binafsi ninashindwa...
  13. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya kazi Ikulu

  14. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya: Kinachoiyetusha greenland si global warming

    katika pita pita nimekutana na hii habati juu ya kuyeyuka barafu za greenland. wengi tunajua kua kuongezeka kwa joto duniani ndio chanzo cha kuyeyuka kwa barafu hiyo, but imegundulik vinginenvyo.. pitia article hii 'The ice sheet in Greenland is melting, but it turns out that the culprit is...
  15. kamanda Hannibal

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Trump v Kim na angamizo la nuklia

    Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa dunia imekua ikishuhudia 'vita ya maneno' dhidi ya Raisi wa Marekani, D Trump na Rais wa Korea Kaskazini, Kim, J.U huku kila upande ukijinasibu una uwezo mkubwa wa kuingamiza nchi nyingine kwa bomu la nuklia. hii imepelekea kila upande kupata 'mashabiki'. binafsi...
Back
Top Bottom